ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

Haka ka chama si ndio kanaka aid kuwa kama fiats utawala wa sheria ? Sasa acheni mahakama Ichukue Mkongo wake ......
 
Hiki chama ni tishio kwa vyama vya siasa nchini, ni adui anayepuuzwa.

Leo mjini Kigoma,Ujiji kwenye mkutano wa hadhara, viongozi wa chama hicho wamevunja ngome za vyama vikubwa hapa nchini CCM na CHADEMA ambapo tawi zima la CCM limegeuka kuwa ACT huku ngome kongwe ya CHADEMA,tawi/kijiwe cha Gungu kikijibadilisha na kuwa ACT.

Hicho ni kijiwe maarufu mjini Kigoma ambapo ndio kitovu cha siasa za mkoa huo. ACT imezoa wanachama wa CCM na CHADEMA, kusema kweli imejiimarisha Kigoma.





Katibu Mkuu ACT, SAMSON MWIGAMBA akifungua Tawi la Gungu Kigoma Mjini
Mfa maji haachi kitapatapa
 
hongera act,fanyeni siasa safi.watanzania watawaelewa
 
wakuu act tanzania ndio habari ya mjini chagadema mtasubir sana mi namngoja zito akitia tu nanga nami mniwekee kadi
 
Back
Top Bottom