ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

wabungenjaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,782
Reaction score
337
Hiki chama ni tishio kwa vyama vya siasa nchini, ni adui anayepuuzwa.

Leo mjini Kigoma,Ujiji kwenye mkutano wa hadhara, viongozi wa chama hicho wamevunja ngome za vyama vikubwa hapa nchini CCM na CHADEMA ambapo tawi zima la CCM limegeuka kuwa ACT huku ngome kongwe ya CHADEMA,tawi/kijiwe cha Gungu kikijibadilisha na kuwa ACT.

Hicho ni kijiwe maarufu mjini Kigoma ambapo ndio kitovu cha siasa za mkoa huo. ACT imezoa wanachama wa CCM na CHADEMA, kusema kweli imejiimarisha Kigoma.





Katibu Mkuu ACT, SAMSON MWIGAMBA akifungua Tawi la Gungu Kigoma Mjini
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.1 KB · Views: 835
  • image.jpg
    image.jpg
    8.8 KB · Views: 2,441
  • image.jpg
    image.jpg
    22.6 KB · Views: 785
..hizi siasa za kunyang'anyana mashina na vijiwe nadhani hazitatufikisha popote.

..kwanini ACT wasianzishe matawi au vijiwe vyao badala yake waende pale walipokuwa CCM au CDM?

..siasa za kurudisha kadi, kushusha na kuchoma moto bendera za vyama pinzani, kuvalisha mbwa bendera za vyama, na mambo mengine kama hayo, tusizipe nafasi.

cc Mkandara, ZeMarcopolo, chama, Gs-300, Ritz
 
Last edited by a moderator:
naomba majina ya mwenyekiti na katibu mkuu wa chama hiki maana wala siwajui ila nakickia tu ni tishio kwa watu wanaojificha humu kwenye mitandao ya kijamii!!!
 
Kila la kheri ba ndugu kama nia ni moja bs inshaallaaah tutafika
 
Act mmejileta kwa kukurupuka na kwa kulipa kisasi mbele ya ukawa hamsikiki kamwe
 
ACT ndo mdudu gani???
Kuna vyama sivifahamu kama kile cha Dovutwa!! Hata sitaki kukifaham nitatapika.
ACT ni moto wa mabua, utawaka kwa kasi dk 1 mara majivu...
 
this is foolish type of politics that i have never see it in my life
 
Maskini Mkulima Zitto Kabwe Kitila Mkumbo@Rangi 5 kwani lengo la chama chenu ni nini kueleza sera au kujivunia kunyapata wanachama kwa hila, tunakesha tunasari ili tupate katiba salama na kuiondoa ccm, kamwe sidhani kama mtafanikiwa maana agenda yenu si njema nikiwa Udom, nilipata kufikiwa na hawa wahuni tutoe matamko dhidi ya CDM kipindi msariti amefukuzwa so kwa dhamira ile Mungu saidia mmelaanuwa...kabla
 
Last edited by a moderator:
Ngome ya ccm na chadema wewe sema Ngome ya chadema ccm na act si ni kitu kimoja chama cha wahaa na usaliti wao,mwigamba wewe ni ccm toka 2010 ulisaliti chadema magu ulipopewa hela na dk limbu alikupa pesa cash ukauza chadema bure,endelea na siasa za adaa hizo.chama hakina ata ruzuku tena kina miezi 3 pesa mnatoa wapi ?? Jamani watanzania zindukeni hii ni ccm kinyume kinyume pesa za usalama Wa taifa kupitia akaunt ujerumani
 
ACT-Tanzania, chama makini cha kupambana na CDM.
Tuko makini kwa hisani tuliyopewa na Serikali ya CCM. Karibuni jamani.
Hahahahaha! Only in Tanzania
 
Hahaa mwigambaaaaa Itaseeka hii nchi nikubwa zito anakutegea na utasugua got sana na malengo yako kutimia ni ndoto
 
Huu ni moto wa mabua na utazimika soon na kubaki majivu.Toka lini kusanyiko la wasaliti likadumu? Ngoja uchaguzi ufike tujionee vituko,Itakuwa Zitto akiuza jimbo kigoma Mwigamba naye anauza Tabora huku Kitilya naye akiuza huko Mpanda! Kwi kwi kwi kwi..........
 
Kutakuwa na uchaguzi wa Rais wa Kigoma tu au. Maana tanzania ina mikoa zaidi ya 25 sasa ukisema kigoma wajiunga wote na act una maana gani
 
Wadau wa ACT hivi leo Zito akihamia CCM na nyie mtahamia CCM? Nyie mnafuata sera au ni wafuata mkumbo
 
Back
Top Bottom