ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

Hawa walagai hawana lolote. huu umoja na mtandao wa Wanafiki, Mafisadi na vimeo wa siasa hawana jipya. Kuzimia kwao kutaanza na mgogoro kama wa CCJ. Hamna mwenye akili timamu atakuwa ndani ya umoja huu wa Cowards and Traitors. Hata kama wanasupotiwa na CCM kinafiki ila walitakiwa washtukie future yao zaid.
 
ACT ndo mdudu gani???
Kuna vyama sivifahamu kama kile cha Dovutwa!! Hata sitaki kukifaham nitatapika.
ACT ni moto wa mabua, utawaka kwa kasi dk 1 mara majivu...

kinaitwa ACT zzk,nikikundi cha wahuni fulani nawasaliti,wa demokrasia hawa wakuogopa kama ukoma!
 
..hizi siasa za kunyang'anyana mashina na vijiwe nadhani hazitatufikisha popote.

..kwanini ACT wasianzishe matawi au vijiwe vyao badala yake waende pale walipokuwa CCM au CDM?

..siasa za kurudisha kadi, kushusha na kuchoma moto bendera za vyama pinzani, kuvalisha mbwa bendera za vyama, na mambo mengine kama hayo, tusizipe nafasi.

cc Mkandara, ZeMarcopolo, chama, Gs-300, Ritz
Wananchi ndio walioipenda ACT sio kwamba ACT wamenyang'anya. Wamesoma misingibna sera wakazikubali, wakachagua na kuweka alama ya vema kwa ACT
 
..hizi siasa za kunyang'anyana mashina na vijiwe nadhani hazitatufikisha popote.

..kwanini ACT wasianzishe matawi au vijiwe vyao badala yake waende pale walipokuwa CCM au CDM?

..siasa za kurudisha kadi, kushusha na kuchoma moto bendera za vyama pinzani, kuvalisha mbwa bendera za vyama, na mambo mengine kama hayo, tusizipe nafasi.

cc Mkandara, ZeMarcopolo, chama, Gs-300, Ritz
Nafikiri wnaohusika na kijiwe au tawi wanafaidika kwa namna fulani. Kikija chama kingine kijiwe/tawilinabadilika...bahati nzuri huitaji 'title deed' kuanzisha tawi/kijiwe!
 
Acha wafanye kwa mbwembwe zote ila wakumbuke kuwa hii ni CCM B ni kuwafanya wapinzani wagawane kura tu ili CCM ishinde, ila TZ ya leo sio ile ya 2010 ya CCJ na wanafiki wachache wa CCM.
 
ACT ni genge la wahuni walewale tu na kuweka habari zake humu ni kutokujielewa na kutumiwa tu sipo bure.Tz ya leo inahitaji umoja wa wapinzani wenye dhamira ya dhati kama UKAWA.
 
Mleta mada yaliyosemwa yanatosha kama utakuwa mwelewa utaelewa kama ni mbishi endelea kubisha
 
..hizi siasa za kunyang'anyana mashina na vijiwe nadhani hazitatufikisha popote.

..kwanini ACT wasianzishe matawi au vijiwe vyao badala yake waende pale walipokuwa CCM au CDM?

..siasa za kurudisha kadi, kushusha na kuchoma moto bendera za vyama pinzani, kuvalisha mbwa bendera za vyama, na mambo mengine kama hayo, tusizipe nafasi.

cc Mkandara, ZeMarcopolo, chama, Gs-300, Ritz

Mkuu naona Mwana ACT Dr Kitila Mkumbo kakugongea like.
Hili litakuwa lime mchoma kama Msomi aliyeamua kuweka kando usomi wake na kuacha kufikiri kwa kutumia PHD.
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana ACT mnavuna wanachama tu ila morogoro mlifunika nyomi ya kufa mtu.
 
Hawa ndo wale watakaopata kura 500 Tanzania nzima
 
Act ndo ushuzi wa msaliti gan

Eti Chama cha akina Zitto,jafari kasisik,na Msafiri ambavyo hao niliowataja ukiondoa Zito hawana uwezo hata wakununua Kahawa,wanajenga Chama cha Waha wakwetu wakijidanganya eti wachukue inchi kwa kutegemea Kura za ujiji na mwandiga kwa serazao zaudini na ukabila
 
..hizi siasa za kunyang'anyana mashina na vijiwe nadhani hazitatufikisha popote.

..kwanini ACT wasianzishe matawi au vijiwe vyao badala yake waende pale walipokuwa CCM au CDM?

..siasa za kurudisha kadi, kushusha na kuchoma moto bendera za vyama pinzani, kuvalisha mbwa bendera za vyama, na mambo mengine kama hayo, tusizipe nafasi.

cc Mkandara, ZeMarcopolo, chama, Gs-300, Ritz
Kuchafuana ndio siasa za vyama vyetu na tusitazame upande mmoja tu maana ukitazama jinsi ACT wanavyoshambuliwa, sidhani kama wao watakuwa na msalie maana ushindani wa siasa za Bongo ni wanachama sio wapiga kura. Hadi tukisha ondoa mentality hiyo ya kuvuna wanachama badala yake tukawa na wananchi wanaoamini ktk mrengo wa chama hicho na hivyo kuwapa kura zao basi hii nvita ya kupata jeshi kubwa itaendelea kwa sababu wanaamini ukiwa a Jeshi kubwa utashinda vita na wananchi watakupokea aidha watnakukubali ama hawakukubali.
 
Hiki chama ni tishio kwa vyama vya siasa nchini, ni adui anayepuuzwa.

Leo mjini Kigoma,Ujiji kwenye mkutano wa hadhara, viongozi wa chama hicho wamevunja ngome za vyama vikubwa hapa nchini CCM na CHADEMA ambapo tawi zima la CCM limegeuka kuwa ACT huku ngome kongwe ya CHADEMA,tawi/kijiwe cha Gungu kikijibadilisha na kuwa ACT.

Hicho ni kijiwe maarufu mjini Kigoma ambapo ndio kitovu cha siasa za mkoa huo. ACT imezoa wanachama wa CCM na CHADEMA, kusema kweli imejiimarisha Kigoma.





Katibu Mkuu ACT, SAMSON MWIGAMBA akifungua Tawi la Gungu Kigoma Mjini

Mwambie MM kwamba 2015 out ubunge na ACT haitapata hata m/kiti wa mtaa hata mmoja.labda hapa jf .

Kuanzisha chama kikasimama ni zaidi ya maika 20. zitto anashirikiana na ccm kujaribu kugawa wanachama wa chadema. zitto wewe subiri siku ACT ikianza kusimama na kukubalika Tanzania ndipo utawajuwa CCM ni akina nani. watakufanyia haya unayoyafanya kwa chadema. na kwa taarifa yako ccm wameisha weka mapandikizi kwa ajili kazi hiyo baadaye
 
Watanzania wengi ni watu wa matukio, hata mabomu yakilipuka ukimbilia kwenda kuangalia,
sijui wtz tumelogwa na nani!
 
Wadau wa ACT hivi leo Zito akihamia CCM na nyie mtahamia CCM? Nyie mnafuata sera au ni wafuata mkumbo

Mambo ya bendera fuata upepo yaliyowashinda wafuasi na Lyatonga akafa jumla kisiasa ndo yanamnyemelea Zana Za Kilimo.
 
Hongera majemadari wa CHADEMA kwa kutoka kivingine kupitia UKAWA; siyo siri kuwepo kwa UKAWA kumefanya msahau kwa muda mtafaruko uliopo ofisini mtaa wa UFIPA ambako Mwenyekiti na Katibu Mkuu viti vyao vimejaa vumbi kutokanana kutokaliwa kwa muda mrefu sababu wapo busy na UKAWA.
UKAWA imekuwa ni sababu tosha ya kusahau kujiengua kwa wanachama waandamizi katika mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora ambao wametimkia ACT. Hali ya CDM mkoani Kigoma iko ICU hadi kijiwe chao maarufu kilichopo Mwanga kwa Mchaga kimehamia ACT, milingoti ya bendera iliyokuwa inapambwa na rangi za CDM imegeuzwa rangi za ACT pamoja na bendera.
Ushauri wa bure kwa CDM; Dr. Slaa fanya hima na kikosi kazi chako kapige kambi Kigoma, jahazi la CDM linazama!!!!
 
mkutano wa ACT-TANZANIA uliofanyika mapema leo Kigoma katika viwanja vya community center Mwanga huyo ni Mzalendo Mwenyikiti wa chama Kadawi Limbu.
Zaidi ya wanachama 531 kutoka vyama mbalimbali wamekabidhiwa kadi leo mchana mkoani kigoma,wakiwemo waliokuwa viongozi wa chadema kitaifa na mkoa.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    22.2 KB · Views: 95
  • image.jpg
    image.jpg
    96.8 KB · Views: 96
Back
Top Bottom