ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

ACT yavunja ngome ya CCM na CHADEMA Kigoma Mjini

Tayari watu wana mtazamo mbaya kuhusu act nadhani watahitaji muujiza kukua unless kama target yao ni kupunguza nguvu ya chadema kigoma angalau wanaweza kufanikiwa
 
Hiki Chama cha ccm b ni njaa sana mpaka wanao enda huko ni wachumia tumbo tu
 
Act chama cha waha chadema chama cha wachaga cuf chama cha wapemba
 
picha iko wazi..hao watu wa familia.hiki chama kweli tishio jf.mtaani hakifahamiki

Usiwapuuze hao watu kwani hata dk.slaa alipokuja kigoma mara ya mwisho alivuna watu kama hao.

Mmewafukuza ni haki yao kutafuta njia nyingine au mlitaka wakalime?
 
Maskini Mkulima Zitto Kabwe Kitila Mkumbo@Rangi 5 kwani lengo la chama chenu ni nini kueleza sera au kujivunia kunyapata wanachama kwa hila, tunakesha tunasari ili tupate katiba salama na kuiondoa ccm, kamwe sidhani kama mtafanikiwa maana agenda yenu si njema nikiwa Udom, nilipata kufikiwa na hawa wahuni tutoe matamko dhidi ya CDM kipindi msariti amefukuzwa so kwa dhamira ile Mungu saidia mmelaanuwa...kabla

Binafsi nimefurahi kuona watatu hawa wanaelekea kupata nafasi za uongozi wa chama kitaifa kama walivyopanga wakati ule wa 'mkakati wa ushindi'. Safari ni nyeupe kuelekea uenyekiti wa chama, ukatibu mkuu. Swafi sana hii.
 
Poleni sana, eti Ngome ya CHADEMA? kiazi mbatata kikikataa kuiva huwa kinatoa maji tu. Ivo jichunguze na hoja yako mgando.
 
mnaua soo siyo?, lini ukaitenganisha ACT na CCM?
 
MAAJABU YA DUNIA HAYA!!!!!!!
Kigoma mjini kuna maskani maarufu sana iitwayo Urusi ambayo ilikuwa Tawi la Chadema,ilipoanzishwa ACT wanachama wote wa hilo tawi wakahamia ACT na hao Wanachama waliohamia ACT waliamua Kushusha bendera ya CDM na kupandisha ya ACT na ndipo baada ya masaa 6 toka wapandishe kukiwa hakuna vurugu yoyote wakaja jamaa 2 wa CCM Loum Mwitu na Kalembe Masoud wakampigia Simu OC-CID aliyekuwepo wakati huo kwa sasa kahamishiwa Dar (Kinondoni) akatuma mapolisi kibao kuja kushusha bendera ya ACT na kuondoka nayo na pia kukamata watu waliokuwa wametulia wanakunywa kahawa hapo na kuwalaza polisi kesho yake wakawaachia na polisi wakakabidhiwa ile bendera ya Cdm.

Siku iliyofuata Katibu wa ACT mkoa wa Kigoma Comrade Athumani Kabogo,mratibu wa ACT kanda ya magharibi Wiston Mogha pamoja na Katibu wa ACT wa tawi la Urusi Hilaly Makoye wakaenda polisi kufuata bendera ya ACT iliyoshushwa na Polisi na wao wakakamatwa na kuwekwa ndani na kuachiwa kwa dhamana baada ya siku mbili.
Na kuja kufunguliwa kesi ya kuhatarisha Amani kwa kuchoma bendera ya CDM baada ya miezi 2 na washitakiwa wote hao hawakuwepo wakati bendera inashushwa.

CCM na CDM wamechanganyikiwa na kasi ya watu kujiunga na ACT na hata mikutano ya Alhaji Kasisiko na Shabani Mambo iliwatesa sana. Hivyo baada ya kugundua CDM na CCM haina nguvu Kigoma wameamua kupambana na ACT.
Hata kesi hiyo ya mahakamani shahidi wa CDM ni Loum Mwitu wa CCM maana hakuna hata mtu mmoja wao CDM alikuwepo wakati bendera ya CDM inashushwa.
Mwanasheria wa ACT yuko mjini Kigoma kwa sasa kuhakikisha haki inatendeka.

ACT Tanzania inalaani siasa za chuki magomvi na fitina na inaomba wanasiasa wafanye siasa Safi kwa mustakabali wa Taifa.

Imetolewa na
Idara ya mawasiliano na uenezi ACT-Tanzania.
​
 
wanaoweweseka ni chadema, na wala msiihusishe ccm na chadema, chama cha wahuni
 
Back
Top Bottom