Waha walio wengi ni watu werevu, hawanyumbishwi hovyo hoyvo, Zitto na CCM mtashindwa tu kwa nguvu za Allah!! mnawahadaa wananchi ili kuchelewesha mabadiliko wanayotayaka 2015.
Kwa hiyo umeona mtelemko kukapeleka ka ACT kako huko kwenu Mwandiga kuwadanganya watu wa kwenu siyo!!
Kwa hiyo umeona mtelemko kukapeleka ka ACT kako huko kwenu Mwandiga kuwadanganya watu wa kwenu siyo!!