ACT yafunika Kigoma

ACT yafunika Kigoma

Hapo ndio kufunika?

Hao watu ni wengi sana ndg kwa chama kinachojitambulisha kwa mara ya kwanza...
Kama unakumbuka chadema ilianza na wangapi?
Je juz mkutano wa mwisho kigoma wa dk.slaa uliangalia vzr idadi ya watu? Haupishani na wa act.

Hata mbowe anajua bila helkopta maudhulio yanakuwa si mazuri...
 
Machadema bwana hayakosi maneno. Juzi mlikuwa mnapiga kelele ohhho chama cha mitandao leo tena unasema mikutano sio issue!

Ngoja nikuulize swali, ni kipi mlichofunika sasa hapo?
 
Uwanja wa Community ulitapika jana! Kile chama cha ukabira na udini kisahau kigoma
 
Uwanja wa Community ulitapika jana! Kile chama cha ukabira na udini kisahau kigoma

Siku macho yenu yakiona na ubongo ukawa na uwezo wa kuchambua mambo mtabadilika tu!!!! mtaacha ushabiki usio wa lazima.
 
Chama kipya na kinachokua kwa kasi cha ACT kinaendelea na ziara ya ujenzi wa chama. Hizi ni picha za mkutano wa Kasulu Kigoma.

Karibuni mtuunge mkono kwa maslahi ya nchi yetu.
attachment.php

Njano5

mbona hatuoni bendera ya hicho chama na viongozi? au wamekopi baadhi ya mikutano ya vyama vingine na kujifanya ni chama cha ACT ( chama cha maigizo cha lumumba)

Afu naona kama kuna wachezaji wa mpira wako wanaangalia mechi, au ni Braziri!
 
mbona hatuoni bendera ya hicho chama? au wamekopy baadhi ya mikutano ya vyama vingine na kujifanya ni chama cha ACT ( chama cha maigizo cha lumumba)

Mtabakia kusema hivyo tu..! ACT inachanja mbuga
 
ImageUploadedByJamiiForums1406180802.500178.jpg
Siku zote nilitamani chama mbadala kitikea,kile chama cha Ukanda,Ukabira,Udini,Ujanjaunja kilmepoteza dila!!!
 
ACT ni lazima ipate watu wengi Kigoma kwa vile ina mlengo wa Kigoma inawahitaji watu wa Kigoma ndiyo maana haihitaji uwepo wa vyama vingine Kigoma.ACT kupokelewa na umati mkubwa Kigoma siyo tatizo wala siyo mafanikio.Huwezi ukapima mafanikio ya ACT kwa kutumia mkoa wa Kigoma wakati Kigoma ndiyo Nyumbani kwake wanakigoma ni lazima wampokee mtoto wao kwa vifijo na nderemo.
 
Mimi nipo dar naifagilia ACT
 
wamefunika nini? watu wapo kuangalia mechi mmewavizia na kuwapiga picha,alafu mnasema mmefunika!?
 
Mtoto wa mwenzio bokoharam, wa kwako gaidi furani. Ninyi CDM mmejibomoa wenyewe kwa ajili ya kutotaka ushauri toka wadau!

Chadema kinacho wabana ni ubinafsi na kupeana vyeo kwa misingi ya ukabira na kujuana! Hawana tofauti na CCM
 
Back
Top Bottom