Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,097
Wakati huohuo, Chuo kikuu cha Dar es salaam kwa kufuata shinikizo la Waziri Ndalichako kimemsimamisha masomo Katibu wa mtandao wa wanafunzi (TSNP) kijana Joseph Malekela kwa kutetea wenzie wapewe mkopo wa elimu ili waweze kusoma.
My Take:
Serikali badala ya kuwapa mikopo watoto kwa wakati ili wasome yenyewe inawafukuza shule, haya mambo gani?
Hii ni tofauti na ahadi ya Kampeni ya rais Magufuli wakati anaomba kura, ambapo alisema wanaocheleweshea wanafunzi mikopo atawafukuza kazi, cha ajabu serikali yake inawafukuza wanafunzi walewale wenye uhitaji wa mikopo ya elimu!. Ajabu sana