Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
ninawaomba viongozi wangu wote wa Ukawa kutoa masharti magumu kwa Zito na wasaliti wenzake wote kama kweli wanaitaji kujiunga Ukawa,ila wasiwasi wangu kama Zito na wenzake walishindwa kuheshimu chama kilichawajenga je wataheshimu Ukawa?wasiwasi ni mkubwa kuliko ninavyoamini,wapewe masharti mazito ili tufanye kazi iliyo mbele pamoja na baada ya uchaguzi aondolewe ili tushikamane pamoja,ni mtazamo wangu
Wewe ulishaitwa msaliti utatoaje ushauri? Zitto ni mtu makini hawezi kuyumbishwa na kikundi cha uasi kama UKAWA..