Hizo pesa znatoka mtaa wa Lumumba na Magogoni.
chadema ni chama cha mungu,tupo na mungu na tutashinda nae daima. CHADEMA 4 LIFE
Naamini katika hili nikiwa mtanzania mlipa kodi pia.inasikitisha kuona vyama vinaanzishwa na hata mtoto mdogo anaweza vipima na kubaini jambo.Mimi nafikiri serikali inayokuja inatakiwa kupitia upya sheria Na vigezo vya chama kupata ruzuku toka serikalini.maana bila haya kufanyika hata wabwia unga watakuja na chama chao ili wapige Pesa.ni hayo tu
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Fikiria vizuri nadhani ACT kina wafadhili wa ndani tusiwanyonge sana.
Usiseme kwa nguvu padre slaa akakusikia, nafikiri utakuwa unajua.
Haiitaji hata tafsiri, watu wanaangalia kile kinachowapendeza, nadhani wana imani zito. WasalimieJamani..chama hakijazinduliwa siku zoooote ndo kinazinduliwa baada ya zitto na Afande sele kuhamia?
Nashindwa kupata tafsiri yake hapa.
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Mnavyohainga na hicho chama pamoja na huyo msaliti wenu mwishowe mtataga.