ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

Nchi hii imejengwa kwa misingi madhubuti na watu wenye fikra na maono ya mbali,hivyo kaeni mtambue yakwamba kamwe haiwezi kuwa chini ya utawala wa wachaga hata cku1.Mmeshindwa kukiongoza chama bila udini na ukabila mnafikiri nchi hii ndo mtaiweza?Chagadema mkichukua nchi hii hakika haitokalika hata kidogo na ndo utakuwa mwisho wa dunia.
roho ya ccm kwa sasa imeshikiliwa na Lowasa ccm ipo kwenye mstari wa kifo uraisi njia nyeupe kwa CHADEMA wewe jiandae kurudi kwenu burundi
 
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.

Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.

Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?

Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?

Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.

CHADEMA wamewalipia. Huu ujinga wa kufuatilia nyendo za vyama vingine acheni. Jengeni chama chenu.
 
ACT Tanzania au ACT Wazalendo, which is which?
 
Acha wivu hata wewe unakaribishwa kuchangia ili matangazo yarushwe zaidi
 
Ni ukweli usiojificha tumewahi kushuhudia kuanzishwa kwa vyama kibao vya siasa lakini vilianza kwa kusuasua kutokana na ukweli kwamba bado wachanga na hawakuwa na wanachama wa kutosha na uchumi mzuri. Lakini hilo ni tofauti kabisa kwa CHAMA ZA WAZALENDO.

Chama kimezinduliwa juzi tu lakini kina magari mapya, Wanachapisha vitabu, Wanaizunguka nchi, Wanarusha matangazo kwenye televisheni na redio.

Ngoja tusubiri na kuona, jambo la msingi ni KUBAKISHA MANENO YA KESHO.
 
Naona pesa wanapewa na wanachama wao. Na mwanzo ni lazima kuwepo moyo wa kujitolea kama vile CDM waliyofanya ili mwisho chama kimilikiwe na wenye chama.
 
kuna uzi umetolewa haraka wa zito kumtumia sms mwigulu kuomba aongezewe fungu ...mods wametoa haraka sana hapo ndio nnapopata shaka...ukiwekwa uzi wa kiongozi yeyote wa cdm humu kutuhumiwa kupokea rushwa au chochote mods wanaacha lakini issue yoyote ikimuhu zito wanaitoa haraka ........mods waachieni watu wajadili la sivyo msiweke habari yeyote inayohusu tetesi humu ndani jukwaa mnaliharibu wenyewe
 
Kwasasa wametuma maombi ya Milioni 700 ili wanendeleeze kazi! Dau lao la vijana mitandaoni ni zaidi ya lile la Lumumba Fc :rockon:Nyuma yako CCM less kindakindaki
 
kuna uzi umetolewa haraka wa zito kumtumia sms mwigulu kuomba aongezewe fungu ...mods wametoa haraka sana hapo ndio nnapopata shaka...ukiwekwa uzi wa kiongozi yeyote wa cdm humu kutuhumiwa kupokea rushwa au chochote mods wanaacha lakini issue yoyote ikimuhu zito wanaitoa haraka ........mods waachieni watu wajadili la sivyo msiweke habari yeyote inayohusu tetesi humu ndani jukwaa mnaliharibu wenyewe

Wala haitasaidia unasambaa kama hewa ukweli utadhiiri tuuuuuuu!-------- yao kamba wakiweza wazuie whatsup ipo mpk bush .
 
mwenye zile habari za zito kuomba fungu la 700 m tunaomba atupie hapa tuone kama watatoa tena
 
Siku hizi neo w.a.salit.i ni tusi....mods mnaliaibisha jukwaa
 
kuna uzi umetolewa haraka wa zito kumtumia sms mwigulu kuomba aongezewe fungu ...mods wametoa haraka sana hapo ndio nnapopata shaka...ukiwekwa uzi wa kiongozi yeyote wa cdm humu kutuhumiwa kupokea rushwa au chochote mods wanaacha lakini issue yoyote ikimuhu zito wanaitoa haraka ........mods waachieni watu wajadili la sivyo msiweke habari yeyote inayohusu tetesi humu ndani jukwaa mnaliharibu wenyewe

Usipate tabu mkuu pitia hapa. MAWASILIANO KATI YA ZITTO NA MWIGULU KUHUJUM CHADEMA YANASWA
 
Back
Top Bottom