masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,567
- 20,118
Hujasomeka?mie nikaribishwe ktk chama cha wasaliti?
teh teh sijakukaribisha nimesema umekaririshwa
mkuu mbona una panic hivi
nitakukaribisha baadae teh teh
Hujasomeka?mie nikaribishwe ktk chama cha wasaliti?
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Zitto alikuwa anawazidi ujanja wajumbe wenzake wa PAC hivyo alijipatia fadha nyingi kwa makampuni ya umma hivyo zitto anakadiliwa kujipatia zaidi ya milion mia nane kwa njia haramu ikiwa pamoja na fedha za escrow za sethi na rugemalila. hivyo zitto si maskini anaweza kukiendesha chama kwa gharama zake hicho anachokifanya zitto kutangaza harambee ni danganya toto tu fedha yote atatoa mfukoni mwake. Ndiyo maana kwa watu wanao mjua zitto kama kina werema, kibajaji wanakuambia zitto si msafi ila anatumia mgongo wa uzalendo kuwadaa wajinga
Kamwe hamtobadilisha mawazo yetu sisi tunaojiandaa kujiunga na chama cha kizalendo kwa vijisiasa vyenu vya majitaka.Zitto ni kijana makini na tumekunywa yamini yakuendelea kumwamini mpaka atakapoamua kuacha siasa au kifo.
Usipate tabu Mkuu Hizo pesa Wamekopa na watazirejesha Mwakani watapoanza kupokea Ruzuku ya serikari
Kama ambavyo Mbowe alikopesha Chadema (kimagumashi) na kulipwa kupitia Pesa ya Ruzuku au leo hayo mmeyasahau?
Rejeeni waraka wa Chacha wangwe
teh teh sijakukaribisha nimesema umekaririshwa
mkuu mbona una panic hivi
nitakukaribisha baadae teh teh
Ha ha ha!yaani hawa watu wa magwanda wanajifanya wanajua sana haki,mh!bora yangu sina chama....Siasa ya tanzania ni SAWA na TUNDU LA CHOO,
Mchumia tumbo pole sana kwa kufuata nyao za wasaliti
haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha act tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati star tv?
Mbona kabla ya zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo act tangazo inazo kwa sasa,kabla ya zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
nachumia tumbo kutoka kwa nani
hivi ni hayo magwanda yanawafanya mjione migambo???