Kamanda tulia dawa ikuingie.
Hizo pesa zinatoka CCM
Mnavyohainga na hicho chama pamoja na huyo msaliti wenu mwishowe mtataga.
wewe ni ACT hapana
Wewe ni mkaguzi wa mahesabu ya chama HAPANA
mbona una kiherehere hivyo???
nasema una kiherehere maaana povu linakutoka mbio hujui chochote unakimbilia hitimiaho kwamba ni majambazi kila mahali namba zimewekwa kwa ajili ya kuchangia sherehe za uzinduzi wa chama
kwa kuwa wewe sio mwanachama uelewi lolote mbio unasema majambazi
mbona una mahaba na yasiyokuhusu wewe ?
Dada angu. Mbona chadema mpo bize sana kuchafua ACT? Hamuoni mnaipa promo?
Zitto alikuwa anawazidi ujanja wajumbe wenzake wa PAC hivyo alijipatia fadha nyingi kwa makampuni ya umma hivyo zitto anakadiliwa kujipatia zaidi ya milion mia nane kwa njia haramu ikiwa pamoja na fedha za escrow za sethi na rugemalila. hivyo zitto si maskini anaweza kukiendesha chama kwa gharama zake hicho anachokifanya zitto kutangaza harambee ni danganya toto tu fedha yote atatoa mfukoni mwake. Ndiyo maana kwa watu wanao mjua zitto kama kina werema, kibajaji wanakuambia zitto si msafi ila anatumia mgongo wa uzalendo kuwadaa wajinga
Wanaogawa kura za upinzani ni slaa na mbowe kwa kuendekeza siasa za ubaguzi na udiktetaACT imeletwa mahususi kwaajili yakugawa kura zaupinzani,hasa kipindi hiki ambacho ccm imekalia kutikavu na anayetumika hapa ni ZZK
Jamani Mbona mnahangaika na ka chama kadogo ka ACT-Wazalendo?
Kwa taarifa yenu wafadhili na vyama rafiki vya Afrika Ulaya na Amerika vilivyokuwa vinaifadhili chadema sasa walikatisha misaada baada ya kusikia kuwa CAG kawapa hati chafu ya ufujaji wa fedha.
Wafadhili wale kwa sasa wameanza kuifadhili ACT-Wazalendo,hivyo kwa sasa chama cha ACT kina vyama rafiki vingi huenda kuliko hata chadema yenu.
Usiweweseke subiri siku ya Uzinduzi utajionea wageni wa kimataifa wanaofadhili ACT jinsi watakavyomiminika.
Mlidhani ni ka chama sasa Kanazidi kuwatoa Jasho.
Wewe Matangazo umeyaona Star Tv,pia yapo Chanel ten,TBC 1,na Clouds Radio,tuyaheshimiana taratibu.
Wanaogawa kura za upinzani ni slaa na mbowe kwa kuendekeza siasa za ubaguzi na udikteta
ACT imeletwa mahususi kwaajili yakugawa kura zaupinzani,hasa kipindi hiki ambacho ccm imekalia kutikavu na anayetumika hapa ni ZZK
Ukistaajabu ya Mussa(Ccm kuipenda ACT na kuwachukia wapinzani wengine )utayaona ya Firauni (ACT kuapa kupambana na wapinzani wenzao wakati walioshika dolla ni CCM)
Mmechokoza nyuki ndani ya mzinga act tulieni mngatwe nyuki ss ni wazee wa hoja