ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

Naamini katika hili nikiwa mtanzania mlipa kodi pia.inasikitisha kuona vyama vinaanzishwa na hata mtoto mdogo anaweza vipima na kubaini jambo.Mimi nafikiri serikali inayokuja inatakiwa kupitia upya sheria Na vigezo vya chama kupata ruzuku toka serikalini.maana bila haya kufanyika hata wabwia unga watakuja na chama chao ili wapige Pesa.ni hayo tu
ACT inakufanya uropokwe kiasi hicho! Jikaze usioneshe udhaidu wako.
 



kamanda vipi...??



A.JPG
​


Ha ha ha

Tatizo la ACT ni nyotaaaa...

Nyota ndiyo shida yaooo...

Nyotaaa...Mpaka inawaliza WACHAGA WA CHADEMAAA..!!!
 
Wewe ni mwanachama hai wa CCM tunakujua kwa comments zako hapa jamvini.Kwa hiyo uko sawa kutetea tawi lenu ACT

Makamanda mavi yanawagonga chupi siyo??

Na huku kusini chama cha KIDINI KIKANDA NA KIKABILA KAMA CHAGADEMA HAKINA NAFASI.

MTACHAMBIA MAWE MWAKA HUU.

SHE.NZY TYPE.
 
Zingatia nilichoandika hapo juu kati ya mi na wewe nani kaandika upuuzi
nimejiunga [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=act]#act [/URL] kabla ya zitto na wengi waliomo humu .acha kupindisha maneno zingatia nilichoandika itakusaidia sana na maswali yako hapo juu

By the way vua hlo gwanda wewe sio mgambo vaa uzalendo ujenge nchi
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=act]#act [/URL] now

Hivi sera za ACT ni zipi?
Sasa kukanyaga kinyesi kabla ya zitto inahusu nini?
Magamba leo mmegeuka ACT?mna siasa nyepesi mno!
 
Jamani Mbona mnahangaika na ka chama kadogo ka ACT-Wazalendo?

Kwa taarifa yenu wafadhili na vyama rafiki vya Afrika Ulaya na Amerika vilivyokuwa vinaifadhili chadema sasa walikatisha misaada baada ya kusikia kuwa CAG kawapa hati chafu ya ufujaji wa fedha.

Wafadhili wale kwa sasa wameanza kuifadhili ACT-Wazalendo,hivyo kwa sasa chama cha ACT kina vyama rafiki vingi huenda kuliko hata chadema yenu.

Usiweweseke subiri siku ya Uzinduzi utajionea wageni wa kimataifa wanaofadhili ACT jinsi watakavyomiminika.

Mlidhani ni ka chama sasa Kanazidi kuwatoa Jasho.

Wewe Matangazo umeyaona Star Tv,pia yapo Chanel ten,TBC 1,na Clouds Radio,tuyaheshimiana taratibu.

akili yako imesafiri
 
Wewe ni mwanachama hai wa CCM tunakujua kwa comments zako hapa jamvini.Kwa hiyo uko sawa kutetea tawi lenu ACT

sijawahi kujinga na CCM
ila sikuwa nakubali kila ujinga wa chama cha mbowe
na pia nilikubali machache waliofanya CCM
kuna wazalendo walioko CCM ulivyokua unasmfia warioba kua mzalendo na kutetea maslahi ya jamii je?ulikua Ccm?
acha kuendeshwa na husia
simamia ukweli kuwa mzalendo
 
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.

Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.

Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?

Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?

Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.

makamanda ACT haiwahusu km ni wasaliti hawapo tena cdm, achaneni nao na usaliti wao jengenchama chenu na wao wajenge chao
 
Back
Top Bottom