mpenda1961
Senior Member
- Apr 2, 2013
- 123
- 78
kuhusu hela za promo hilo ni swali la kitoto... kama wasanii wanafanya promo iwe chama chenye wapenzi na wakereketwa..... kwan wanachama hawana hela....
Sasa tatizo lako nini, kama kachama kachanga si utulie tu, mbona unawewesekaa?Yani ccm wasitunyime usingizi ije iwe Act
Kachama kachanga ka juzi na uongozi wanagombania
Hoja hapa ni kuwa uongo umeanza kujitenga ukweli unabaki
Tuliposema anasaliti chama lumumba mlipiga kelele sana
Lakini leo mmejionea na ulimwengu umeshuhudia intelejesia ya Cdm ilivyo kubwa.
Sasa waliobisha sio msaliti wanajionea wenyewe kweupeeee
Kamanda tulia dawa ikuingie.
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT inazo kwa sasa,kabla ya zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT Tanzania ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya Zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya Zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT Tangazo inazo kwa sasa,kabla ya Zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Chadema ndo mnaipa promo hii ACT,kila dakika ACT mpaka lini,kama Zito ni Msaliti si mmeshamfukuza sasa mnafuatilia nini tena,daaah
Kwani kila chama kinapata ruzuku mkuu?Naamini katika hili nikiwa mtanzania mlipa kodi pia.inasikitisha kuona vyama vinaanzishwa na hata mtoto mdogo anaweza vipima na kubaini jambo.Mimi nafikiri serikali inayokuja inatakiwa kupitia upya sheria Na vigezo vya chama kupata ruzuku toka serikalini.maana bila haya kufanyika hata wabwia unga watakuja na chama chao ili wapige Pesa.ni hayo tu
Wewe unaonyesha dhairi una mahaba niuwe si bure
Kwa taarifa yako zitto alishalipa mahari na yule nanihii ana mke tayari imekula kwako
Kijana okoa taifa acha undumila na mahaba ya kipuuzi kwenye mambo ya msingi.
Jamani Mbona mnahangaika na ka chama kadogo ka ACT-Wazalendo?
Kwa taarifa yenu wafadhili na vyama rafiki vya Afrika Ulaya na Amerika vilivyokuwa vinaifadhili chadema sasa walikatisha misaada baada ya kusikia kuwa CAG kawapa hati chafu ya ufujaji wa fedha.
Wafadhili wale kwa sasa wameanza kuifadhili ACT-Wazalendo,hivyo kwa sasa chama cha ACT kina vyama rafiki vingi huenda kuliko hata chadema yenu.
Usiweweseke subiri siku ya Uzinduzi utajionea wageni wa kimataifa wanaofadhili ACT jinsi watakavyomiminika.
Mlidhani ni ka chama sasa Kanazidi kuwatoa Jasho.
Wewe Matangazo umeyaona Star Tv,pia yapo Chanel ten,TBC 1,na Clouds Radio,tuyaheshimiana taratibu.
Zingatia nilichoandika hapo juu kati ya mi na wewe nani kaandika upuuzi
nimejiunga [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=act]#act [/URL] kabla ya zitto na wengi waliomo humu .acha kupindisha maneno zingatia nilichoandika itakusaidia sana na maswali yako hapo juu
By the way vua hlo gwanda wewe sio mgambo vaa uzalendo ujenge nchi
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=act]#act [/URL] now
Mkuu pole naona hujapata usingizi
teh teh
Weka hoja yako ieleweke umekusudia kuandika nini hapo mkuu?