uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
ACT imeletwa mahususi kwaajili yakugawa kura zaupinzani,hasa kipindi hiki ambacho ccm imekalia kutikavu na anayetumika hapa ni ZZK
Kama mlijua ACT imekuja kugawa kura za upinzani kilichowazuia kutoa ushauri na kuwasihi viongozi wenu kuyamaliza kiutu uzima haya matatizo ili kuepusha mpasuko wa chama ni nini? Watu mmewafukuza na wapuuzi kama wewe mkashangilia na kukenua mimeno juu watu wametafta mbadala wa kuendeleza mapambano ndo mnakuja kujificha kwenye kivuli cha ccm? Pumbavu wakubwa. Wala hamna cha ccm, wachawi wa chadema ni Mbowe, Slaa, Lema na Lisu. Na chama kikisambaratika tafuteni hao watu muwapige mawe mpaka wafe.