ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

Kamwe hamtobadilisha mawazo yetu sisi tunaojiandaa kujiunga na chama cha kizalendo kwa vijisiasa vyenu vya majitaka.Zitto ni kijana makini na tumekunywa yamini yakuendelea kumwamini mpaka atakapoamua kuacha siasa au kifo.
Na Zitto akifa leo (nasema hivi kwa kuwa yeye ni binadamu hakujiumba)utaendelea kubaki ACT au utahama?????????? (kwa kuwa hukufuuta sera za chama ila umemfuata mtu)
 
Sio vibaya na sisi ukatujibu haya maswali,fedha za ruzuku zinafanya kazi gani chagadema,mzee mtei mnamlipa kiasi gani kama kodi ya pango mtaa wa ufipa,ofisi za mikoani mbona zipo kama stoo,kwanini uongozi wa juu chadema wote ni wakristo, kwanini makao makuu ya chama wamejaa wachaga.
 
Mimi ni mwanachama halali wa cdm but kwa udicteta+udini na ukabila ndani ya cdm nimetokea kuichukia viba cdm na kumpenda zaid mzalendo zzk na cjama cha kizalendo Act.Cdm byeeeeee byeee

Cdm hamna member mwenye akili andunje kama zako labda uniambie ni UPDP umeamua kujiunga na hii network ya kijambazi.
 
Sio vibaya na sisi ukatujibu haya maswali,fedha za ruzuku zinafanya kazi gani chagadema,mzee mtei mnamlipa kiasi gani kama kodi ya pango mtaa wa ufipa,ofisi za mikoani mbona zipo kama stoo,kwanini uongozi wa juu chadema wote ni wakristo, kwanini makao makuu ya chama wamejaa wachaga.

Wakristo nani na nani?
Wachaga nani na nani?
Single ya 90's bado unayo?
We kweli kilaza unaitaji sana elimu kijana bado upo usingizini sana.
 
Chagadema hamna uwezo wakuckua dola kamwe.
Chama kikuu cha upinzani kinachojiandaa kuchuwa dola mwaka huu unasema wajinga
Kweli mjinga kumbe hajijui pole kijana.
 
Mmechokoza nyuki ndani ya mzinga act tulieni mngatwe nyuki ss ni wazee wa hoja

Hahahahahahahahaha eti Bavicha ni wazee wa hoja..hahaha. yaani pumba mnazoshnda mnatema hapa ndo hoja?
Akili ndogo kuongoza akili kubwa ni shigida. Mwaka huu tutaheshimiana... sisi hatuna noma na kibaraka wenu Limbu. Tunaishi naye kwa Amani...
 
Chama kikuu cha upinzani kinachojiandaa kuchuwa dola mwaka huu unasema wajinga
Kweli mjinga kumbe hajijui pole kijana.

Kama Kilimanjaro siku hizi imekua Dola sawa tunawatakia kila laheri kwenye utawala wenu.. aisee mangi eeh msalimie mamamkwe hapo moshi kibo.
 
Unaongozwa na mahaba nifi.re ww wala sio bure,kwataarifa yako sina muda wakujibishana ni bichwa uharo kama ww chaga la kibosho.
Cdm hamna member mwenye akili andunje kama zako labda uniambie ni UPDP umeamua kujiunga na hii network ya kijambazi.
 
ACT ya Zitto ni sawa na TLP ya Mrema au UDP ya Cheyo. A one man show!! It won'the last ........ wenye akili zao huko CCM wanahangaika na Lowasa maana wanajua ACT haitakuwa na impact yeyote kwenye uchaguzi.
 
Zitto alikuwa anawazidi ujanja wajumbe wenzake wa PAC hivyo alijipatia fadha nyingi kwa makampuni ya umma hivyo zitto anakadiliwa kujipatia zaidi ya milion mia nane kwa njia haramu ikiwa pamoja na fedha za escrow za sethi na rugemalila. hivyo zitto si maskini anaweza kukiendesha chama kwa gharama zake hicho anachokifanya zitto kutangaza harambee ni danganya toto tu fedha yote atatoa mfukoni mwake. Ndiyo maana kwa watu wanao mjua zitto kama kina werema, kibajaji wanakuambia zitto si msafi ila anatumia mgongo wa uzalendo kuwadaa wajinga

“Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko
wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya
ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi
waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti
ya kupambana na rushwa,” alisema Profesa
Lipumba.
 
Pleeeeeeeeease ACT-Tanzania team Wazalendo hii kasi watu wanaumia sana moyoni na dozi imekuwa kubwa sana watu watageuka wendawazimu je Milembe nafasi itakuwepo ya kutosha...?
Go go go go go go go ACT, Mungu barik kazi za ACT wape nguvu na ujasili viongozi wetu wa ACT
 
Sio vibaya na sisi ukatujibu haya maswali,fedha za ruzuku zinafanya kazi gani chagadema,mzee mtei mnamlipa kiasi gani kama kodi ya pango mtaa wa ufipa,ofisi za mikoani mbona zipo kama stoo,kwanini uongozi wa juu chadema wote ni wakristo, kwanini makao makuu ya chama wamejaa wachaga.
Wewe haujui siasa na si mfuatiliaji wa siasa hizo nyimbo hata hao walimu wako wa siasa hawazitumii tena kwa kuwa haziuziki tena muulize Nape,Kinana NA hata yule jamaa Mwigulu
 
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT inazo kwa sasa,kabla ya zitto kujiunga na baada ya kujiunga.

Aisee matangazo yamelipiwa hadi humu JF, ngoja tuone nwisho wake ninini
 
Pleeeeeeeeease ACT-Tanzania team Wazalendo hii kasi watu wanaumia sana moyoni na dozi imekuwa kubwa sana watu watageuka wendawazimu je Milembe nafasi itakuwepo ya kutosha...?
Go go go go go go go ACT, Mungu barik kazi za ACT wape nguvu na ujasili viongozi wetu wa ACT
Wanacheza ngoma yetu!! Watakoma hawa warombo
 
Unaongozwa na mahaba nifi.re ww wala sio bure,kwataarifa yako sina muda wakujibishana ni bichwa uharo kama ww chaga la kibosho.

Pwahahaha.....akili za kamasi utazijuwa tu,nilianza kujuwa tu wewe na peter Mzirai mtakuwa ndugu tu
Sasa matusi ya nini kijana jenga hoja na kama huna "Kimya
 
pesa wanapewa na wadhamini wao wakubwa ccm lakini hiki chama kimeanzishwa na viongozi wenye uchu wa madaraka ngoja tuone watafika wapi.
 
Aisee matangazo yamelipiwa hadi humu JF, ngoja tuone nwisho wake ninini
hayo matangazo nimeyaona baada ya mwenyekiti wao kuhamia rasmi na kupewa kadi lakini hizi mbwebwe tuu ngoja tuone mwisho wake.
 
Haitaji kutumia nguvu nyingi kujuwa chama cha ACT ni cha mafisadi na majambazi kama alivyokwisha kukiri mwenyekiti wao Limbu.
Nasema hivi maana haiwezekani hata kidogo "eti baada tu ya zitto kuchukuwa kadi waanze promo kwenye Tv kana kwamba wanapata ruzuku.
Kama sio wezi na matapeli wamepata wapi pesa za matangazo ya kila wakati Star tv?
Mbona kabla ya zitto hatukuona matangazo hayo?
Tutafakari sura hizi mbili ambazo ACT inazo kwa sasa,kabla ya zitto kujiunga na baada ya kujiunga.
Kwani wewe MBOWE ACT inakutia vidole?mbona unarukaruka sana?
acha hashiki majinun na baki na CHAGADEMA YENU!!!
 
Back
Top Bottom