ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

Huyo ZZK si ameanzisha hiyo ACT kwa lengo lile lile la kuvuruga CHADEMA??
Sasa si atangaze rasimi kuhama CDM, afute kesi zake mahakamani, aachane na usaliti, na unafiki ajenge chama chake!!!
 
ACT kupata budget mpaka Wasira, Banana (Mzee wa matembo) na Nape wakae, wawape fedha za kuzunguka!! Wanafiki hao!!
 
Je,mnanufaika vipi na mifuko ya hifadhi ya jamii ninyi kama chama?
Je,ili kuwa mwana ATC mzuri unapaswa kuwa na hisa Leka DUtigite na Gombe ---kiasi gani?
Halafu je,rangi ya zambarau kwenye bendera ya chama chenu inawakilisha nini maana kwa mimi mkristo rangi hiyo huonesha majonzi na mateso flani?
 
Mkuu Masanja hiki chama kimeanza na mguu wa kushoto na mbaya zaidi kimeanzishwa kwa kutumia fedha za TANAPA na NSSF.

Hiki chama mlichemka mlipoanza kujenga msingi wa uhalali wenu kwa ku-attack Chadema.

I am not a politician but I know one when I see one. Wote ni wale wale wenye njaa tuu.

Baadala ya kujenga hoja mnakuja na nyimbo zile zile zilizochoka za kuattack personalities. My point is, Chadema might be weak and a failure in its agenda (by the way, I dont agree with many of their approach to politics). Lakini hiyo haiwahusu. Kikubwa kwenu ni kuhakikisha wananchi wanaelewa mnachosimamia. Kusimama jukwaani na kuanza kuwatukana CHADEMA naona ni ukosefu wa fikra. Na I suspect you are simply marceneries paid to spoil things.

Mimi Masanja naona hiki chama ni reactionary. Just losers kwenye vyama vingine. Basically you are trying to show Chadema na wengineo kwamba na nyinyi mna chama kwa hiyo hata kama waliwafukuza..you can as well establish your own party. No roots. No values..simply to confuse us poor wananchi.

I will be pleasantly surprised if you prove me wrong.

Masanja
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tunachezewa sana na wanasiasa..Ona na hawa ACT eti wanajifanya na wao wana nia ya kuwatetea watanzania...Once a traitor always a traitor.....Kma ulishindwa kufuata taratibu za ulikokuwa ...u will never do it anywhere....Cha kushangaza..mashabiki wa ACT ni mashabiki wa CCM...Whaaaaaaat a coincidence??/
 
kweli kabisa ndugu, usiwape namba yako kabisa maana ukiwapa namba yako ya simu watakuibia simu yako, halafu ukiwapa parua pepe watakuibia E-mail yako. Yaani ni hatari sana! usikubali kabisa mkuu!

Hamna maana nyie wakigoma
 
Tatizo wafuasi Wa ACT ndio hao hao Wa CCM.....!!!Zitto anajiharibia sanaaaa
 
ACT Tanzania Uenezi umekimbia au huna majibu sasa kama tu kwenye mtandao hamna majibu sasa mkija mtaaani mtaweza kweli kujibu hoja. Au mkija huku ni kama Padri hamruhusu watu kuuliza maswali mara baada ya mahubiri?
 
act ni upumbavu mtupu,bora uungane na mrema kulko hii kitu ya wasaliti
 
ACT Tanzania Uenezi umekimbia au huna majibu sasa kama tu kwenye mtandao hamna majibu sasa mkija mtaaani mtaweza kweli kujibu hoja. Au mkija huku ni kama Padri hamruhusu watu kuuliza maswali mara baada ya mahubiri?

abakorakamo njoo umtolee majibu mwenezi wako
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tunachezewa sana na wanasiasa..Ona na hawa ACT eti wanajifanya na wao wana nia ya kuwatetea watanzania...Once a traitor always a traitor.....Kma ulishindwa kufuata taratibu za ulikokuwa ...u will never do it anywhere....Cha kushangaza..mashabiki wa ACT ni mashabiki wa CCM...Whaaaaaaat a coincidence??/

Hahahaaaaa
 
Uroho wa madaraka na tamaa ya fedha ndio msingi wenu.!!
 
Back
Top Bottom