ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

Dah! kweli! heri yao wale wenye shibe tena shibe ya milele, yaani wao hawahisi njaa milele maana matumbo yao yana ukuta maalum wenye 'Alloy'. Yaani watu wenye njaa ni shida ndio maana tunawashauri watu wafanye utaratibu wasiwe na njaa na hii pia ni nzuri kwa ajili ya usalama wa chakula (food security) nchini.
Una mawazo mazuri sana, tambua tunasoma na kuheshimu mawazo yako.

Mimi binafsi nategemea kusoma falsafa, mipango na mikakati halisi inayotekelezeka ndani ya ACT ambayo italeta tofauti kwa wananchi wa Tanzania.

Mpaka sasa bado sijayapata, na sijakata tamaa.
 
utasubiri mpaka miguu iingie tumboni .
 
Tunaomba ACT muishi kadri ya msingi wa UWAZI ambao utawatofautisha na vyama vingine.

Kwa kuanzia wekeni wazi mambo ya pesa zilizogharimia usajili.

Nani walichangia, na kwa kiasi gani, na zilitumikaje.

UWAZI mkiuweka katika matendo mtatupata wanachama wengi.
Hawawezi onyesha hawa wachumia tumbo. Zzk hawezi jianika yupo kama ruba cdm
 
Hawawezi onyesha hawa wachumia tumbo.
Mkuu haisemwi hivyo, ona hata hujui maskini!, inasemwa hivi "Hawa jamaa ni wanafiki wasaliti wachumia tumbo!" wewe ukisema kwa kifupi tu hivyo unapunguza ladha na ule utamu wenyewe unaotakiwa.

Tunaomba ACT muishi kadri ya msingi wa UWAZI ambao utawatofautisha na vyama vingine.

Kwa kuanzia wekeni wazi mambo ya pesa zilizogharimia usajili.

Nani walichangia, na kwa kiasi gani, na zilitumikaje.

UWAZI mkiuweka katika matendo mtatupata wanachama wengi.

Wakifanya tu haya, nitajiunga na nitatumia resources zangu kujenga hiki chama!!!!
 
Mkuu haisemwi hivyo, ona hata hujui maskini!, inasemwa hivi "Hawa jamaa ni wanafiki wasaliti wachumia tumbo!" wewe ukisema kwa kifupi tu hivyo unapunguza ladha na ule utamu wenyewe unaotakiwa.

mbona majibu yako kama ni kuseek sympathy hapa jf? jibu maswali mnayoulizwa sio kuappeal to pity! mnajifanya watu wema wakati nyie ni nyoka wenye sumu kali!
 
Mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya uhasibu lakini nilishawahi kuambiwa na mtaalam mmoja wa mambo ya fedha kwamba mara nyingi taarifa za mapato na matamizi ya taasisi, hutolewa katika vipindi vya robo mwaka, nushu mwaka, robo tatu na mwaka.Sasa sijui kama alichokuwa ameniambia kilikuwa ni ukweli au laa! nadhani wataalam wa mambo ya uhasibu wanaweza kutusaidia ujuzi katika eneo hili, ila kama ilikuwa ni ukweli na kama ACT-Tanzania watakuwa wanafuata utaratibu huo wa kitaalam (kama itakuwa kweli ndivyo unavyotakiwa uwe), basi bila shaka wanaweza wakatoa baada ya kufikisha robo mwaka! pengine tusubiri kidogo halafu tuone kama ACT- Tanzania itafanya hivyo au laa!

Au una taarifa tofauti na hiyo, juu ya muda ambao taasisi hutakiwa kutoa taarifa zake za mapato na matumizi ili tuweze ku-share ujuzi?

Kwa suala la taarifa za kihasibu unaweza kuandaa na kutoa taarifa ya fedha mapato na matumizi ya fedha muda wowote hata kwa siku, wiki, mwezi, robo mwaka, nusu mwaka, mwaka mmoja nk. Kinachohitajika ni kufahamu aina ya taarifa (kwa maana ya 'details') na nani anahitaji taarifa. Kwa mfano Msajili wa vyama anaweza kuhitaji taarifa ya mwaka lakini mkuu wa idara anaweza kuhitaji taarifa za wiki toka kwa wahasibu wake nk.

Vivyo hivyo, ACT - Tanzania wanaweza kutoa taarifa hata ya mwezi mmoja kwa sababu taarifa inatengenezwa kwa kutumia kumbukumbu za vitabu ambavyo vipo kwa maana ya vitabu vya hati ya kupokea fedha na kutoa fedha na mengine.
 
Hivi kwa uzoefu wako katika mambo ya zoolojia, ni aina gani ya nyoka mwenye sumu kuliko wote?
mimi ni mwananchi wa kawaida sina uzoefu na mambo ya sijui zolojia sijui nini! labda unisaidie wewe mzoefu wa hayo mambo.ninachokijua ni kwamba kitila na wenzake walikuwa wanakihujumu chama kwa siri ili viongozi waliopo madarakani waonekane wameshindwa! Betlehem hii ni sawa? Tutawaaminije watu km hawa ndio waasisi wa chama chenu?
 
kama wewe pamoja na maelezo yote, kuhusu suala la kina Dr.Kitila, lakini bado tu hujaelewa, nadhani utaelewa kidogo kidogo tu.
 
Back
Top Bottom