ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

Fungueni Website bwana na Blog aka globu! Mbona nafuu sana! Email za yahoo na gmail zinashusha hadhi!
 
Hongereni ila mtujuze target yenu ni nn haswa???? na mtatukomboaje ss makabwela:high5::fencing:
 
Ina maana utapeli wa mbowe na genge lake juu ya ruzuku za chama na misaada mbalimbali ya nje na ndani hujauona ila umeshaona utapeli wa act chama ambacho hata hakijasimama rasmi na hakina hata cent moja ya ruzuku????????
Ama kweli nimeamini mapenzi mabaya.
 
Uroho wa madaraka na tamaa ya fedha ndio msingi wenu.!!

Hiyo inawezekana..' kama mtei alivyokimbia ccm na kwenda kuanzisha chagga development movement (chadema) bshaka ilikua ni njaa iliyompeleka huko lakini leo hii ana wafuasi misukule kama ulivyo wewe...
 
Tatizo wafuasi Wa ACT ndio hao hao Wa CCM.....!!!Zitto anajiharibia sanaaaa

Una ushahidi kwa ukiongeacho??? Kama act ina-share wafuasi na ccm kwa mtizamo wangu itakua ni advantage kubwa sana.
Kwan hata nyie daily mko busy kuwashawishi wafuasi wa vyama vingne wawaunge mkono hususani ccm.
Kwa mtaji huo huoni kama act wameanza na mtaji mzuri kwa kupata wafuasi wengi kutoka kwenye chama chenye wanachama wengi.
 
Asante sana ACT kwa kuja kitofauti,nawatabiria makubwa katika siasa za Tanzania,itikadi yenu na falsafa ya kusimama upande wa wanyonge hakika ni jawabu kwa matatizo ya watanzania.

sasa watanzania wataamka na ACT,watashinda na ACT na watalala na ACT katoka simu na computer zao.

Chapeni kazi,ccm na chadema wapo kwaajili ya maslahi yao na familia zao.

Inawezekana wote wapo kwa maslahi yao wala usiwatetee act lakin hata mav.i yanazidiana harufu.
Mpaka sasa naweza kusema wana unafuu ukilinganisha na hao matapeli wa vyama vngne hasa ccm na chadema...
Hakuna mkamilifu chini ya jua.
 
ACT kupata budget mpaka Wasira, Banana (Mzee wa matembo) na Nape wakae, wawape fedha za kuzunguka!! Wanafiki hao!!

Kama act wanapata budget kutoka ccm si mbaya kwasababu hawana kiwanda cha uzalishaji wala sio wafanyabiashara kama vilivyo vyama vngne na nyie chadema mkiwamo. Kwan mnapata ruzuku pasipo kuzalisha chochote.

Na kwa kauli hiyo utakua unapingana na mwenyekiti wako mbowe aliyekula 100m alipoulizwa akajibu,'si vibaya kuchukua pesa za mafisadi ila inategemea umezichukua kwa madhumuni gani'.
Kama unazchukua kwa madhumuni ya kujenga chama ni vzr sana.
 
nyau we....
Ndugu, mwana ACT-Tanzania au Mpenzi wa ACT-Tanzania au Mtanzania mzalendo, tunapenda kukuasa kwamba ACT-Tanzania kinajijenga na kujiimarisha katika misingi ya ustaarabu ,ustahimilivu na uungwana.

Hivyo basi kwa kupitia kwako, tunashauri kujiepusha kumjibu mtu matusi na tunashauri kuwa wavumilivu tunapotukanwa kwani viongozi wazuri ni wale wanaoweza kuvumilia.Ukiona unapata jazba na unatamani kujibu vibaya, ni bora ukaamua usijibu kabisa kwani ACT-Tanzania imekusudia kufundisha siasa za 'Level' ya juu sana.

Una ushahidi kwa ukiongeacho??? Kama act ina-share wafuasi na ccm kwa mtizamo wangu itakua ni advantage kubwa sana.
Kwan hata nyie daily mko busy kuwashawishi wafuasi wa vyama vingne wawaunge mkono hususani ccm.
Kwa mtaji huo huoni kama act wameanza na mtaji mzuri kwa kupata wafuasi wengi kutoka kwenye chama chenye wanachama wengi.

UKIKATALIWA JF basi ujue KWAMBA UMEKATALIWA HADI KWENU ! CHUKUA HIYO KAMA ULIKUWA HUJUI .
 
ACT-Tanzania tunatumia na tutaendelea kutumia mbinu mbali mbali ili kujitahidi kuwafikia watanzania wengi iwezekanavyo (ikiwezekana watu wazima wote na wenye akili timamu), kwa haraka, kwa ufanisi, bila usumbufu mkubwa na kwa kujaribu kutumia njia ambazo ni za gharama nafuu zaidi.
Tuwasiliane kwa acttanzania@yahoo.com au acttanzania@gmail.com.
[/QUOTE]
Hiyo extract hapo juu kama siielewi vile!ina maana hivi sasa wanawafikia watoto na wasiokuwa na akili timamu? au siye watu wa pwani kiswahili kinasumbua?
 
Tumechoka nyie waganga njaa tu.
Dah! kweli! heri yao wale wenye shibe tena shibe ya milele, yaani wao hawahisi njaa milele maana matumbo yao yana ukuta maalum wenye 'Alloy'. Yaani watu wenye njaa ni shida ndio maana tunawashauri watu wafanye utaratibu wasiwe na njaa na hii pia ni nzuri kwa ajili ya usalama wa chakula (food security) nchini.
 
Ndugu, mwana ACT-Tanzania au Mpenzi wa ACT-Tanzania au Mtanzania mzalendo, tunapenda kukuasa kwamba ACT-Tanzania kinajijenga na kujiimarisha katika misingi ya ustaarabu ,ustahimilivu na uungwana.

Hivyo basi kwa kupitia kwako, tunashauri kujiepusha kumjibu mtu matusi na tunashauri kuwa wavumilivu tunapotukanwa kwani viongozi wazuri ni wale wanaoweza kuvumilia.Ukiona unapata jazba na unatamani kujibu vibaya, ni bora ukaamua usijibu kabisa kwani ACT-Tanzania imekusudia kufundisha siasa za 'Level' ya juu sana.

Njoo uwazuie na huku mitaani, ACT Tanzania tunayokutana nayo mitaani ni aina ya huyo abakorakamo. ABAKORAKAMO ndie anaongoza kuwatetea humu, wakati huo huo anatetea na CCM!!! Coincidence or design?

Tatizo mmekuja kana kwamba chama chenu kinapokea malaika tu kuwa wanachama, na mmejitapa viwango vya juu sana ambavyo hivyo hivyo vitatumika kuwapima kila litendwalo na mwanachama na mshabiki wenu.

Vyama vingine vimetambua kuwa vina binadamu, na hulka ya binadamu kuna kuteleza na udhaifu wa hapa na pale. Nyie ACT perfect. UTU, UWAZI, UWAJIBIKAJI, USTAARABU, UVUMILIVU, UUNGWANA n.k. yote ni mazuri ILA TUNASIKIA MANENO; TUNATAKA NA MATENDO TUYAONE kuanzia humu mitandaoni. Kumbukeni kuwa hata wenzenu pia wanalenga hayo hayo, ila wanakiri kuwa wanachama wao ni binadamu na si malaika.

Mna kazi kubwa sana.

Karibuni katika uwanja wa SIASA.
 
Back
Top Bottom