ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

mkuu wakati fulani ni bora ukasoma na kupita kama guest, kama wanavyofanya wageni wenzako! au wewe mwenyeji? lakini sasa kama wewe mwenyeji mbona unakuwa hivyo?

Hawa jamaa ni matapeli kikundi kidogo cha watapeli sasa wanataka kuibia watu.
 
Namuuliza kwa kuwa amejinasibu kama anayeielewa vyema,
 

Hii muhimu.
 

Masanja unaakili sana
 
Ofisi zenu ziko wapi kwa hapa Shinyanga? Maana hivi vyama vya mtandaoni kwenye Facebook na twitter watanzania wengi hatujavizoea.
 
Tunawatakia heri kwenye safari yao wafanye siasa za kusaidia watu siyo kama za chadema za kuuwa watu badala ya kuwasaidia na kuwatumikia.
 
wadau mwenye akili timamu wacha tusapoti ACT ni tumaini jipya litu tuwaache vipofu wanafiki wakabila wakokotane
 
Tunaelewa kuwa uzi Huu ameutuma zzk,hivyo sisi hatupo tayari hâta kusoma hiyo e-mail tenu ya kifisadi.
 
wadau mwenye akili timamu wacha tusapoti ACT ni tumaini jipya litu tuwaache vipofu wanafiki wakabila wakokotane

Kwa hiyo wasiosapoti ACT Hawana akili timamu!?

By the way, tunaomba UWAZI pesa za mchakato wa Usajili.

Sera na msingi wa Uwazi zitumike kwa vitendo.
 

Tunaomba ufafanuzi wa msingi wa UWAZI.
 
Hiki chama kina julikana huku Jf pekee mtaani si dhani kama kuna anaye kijua hata mimi ndo leo nakisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…