ACT presha ya nini!

ACT presha ya nini!

Unajitahidi kukiwakilisha chama cha wahuni wa Kigoma....

ACT......(Alliance for Coward Traitors)

muasisi wa chadema mzee mtei anaipenda sana ACT, ameshindwa kuficha na kuamua kusema ukweli
 
Naona umekuwa mpole....Hata roho yako inakusuta kwamba unayoyaongea hata wewe unajua ni ndoto za alinacha...

Pole sana....Najua ni njaa tuu zinakusumbua....

mzee mtei anaiogopa sana ACT
 
Naona wewe kisabengo ndo unakiwakilisha chama huku na wahuni wengine wa Buku 7fc..

inabidi muwe wapole tu. bosi wenu ameshaonyesha uoga kwa chama makini cha ACT
 
Bora umesema maana hata mimi nilikuwa ACT ni kitu gani, na kama ni chama kimesajiriwa lini na viongozi wake ni nani?
Jamani ebu tuweni magreat thinker kwa kuacha kujadili vitu ambavyo havipo na havita kuwepio. Hiyo ACT ndio nini? kama sio kupotezeana muda tu.
 
Kwa kweli ni ajabu kwa chama cha upinzani kuanzishwa kwa ajili y a kupambana na chama kingine cha upinzani.
 
Hiki ni chama kipya cha siasa inchini katika kujitambulisha sehemu mbalimbali ,ACT kinajipambanua kama wapigania democrasia wa kweli na wao ni wawazi na kimekuwa kikiwananga wapinzani wenzake hasa CHADEMA eti huko hakuna democrasia wala hakuna uwazi hii imenishangaza kwelikweli,kinajaribu kuwa ambia watu wajiungenacho kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli wala uwazi huko Chadema hapa ndipo ninapo washangaa zaidi,

Nilicho kitegemea mimi viongozi wa chama hichi wangetuuzia sera,itikadi ,dira,mipango,malengo na ilani zoa nilitegemea kuona sera za mazingira,afya,maji,kilimo,uwekezaji ,elimu,uchumi,usawa ,haki na nyingine nyingi kutoka ACT ambazo hazilingani na vyama vingine hasa CHADEMA, lakini mambo ni tofauti wanatuambia tujiungenacho tu kwa kuwa CHADEMA hakuna demokrasia! wala UWAZI haya ni maajabu .Kwa kuwakumbusha tu Chadema kimekuwa sauti ya wasio kuwa na sauti inchini hasa bungeni kimekuwa wasemaji wa watanzania maskini wasio na pa kusemea wamekuwa wawakilishi wa watanzania .

Napenda niwakumbushe ACT kuwa hutukuanza kuipenda CHADEMA hivihivi ila walitenda tukawaona,ACT acheni maneno bila vitendo kwani hizo ni taarabu tu,Napenda kuwa ambia ACT waTZ kwa wingi wao ni maskini wa kutupwa wengi wa walio maliza chuo kikuu wapo mtaani wakirandaranda hakuna ajira, wakulima wengi wanalima kwa jembe la mkono AFYA mbovu elimu inazorota ,barabara mbovu,maji hakuna na mabadiliko hakuna nilitegemea ACT watazungumzia sera hizi na si mapambano walio yaanza,ninapenda kuwaambia ACT hakuna democrasia duniani isiyo na mipaka hakuna.Na napenda kuwa kumbusha wa Tanzania waikumbuke CHADEMA wakati mwingine watakapo piga kura.

Waanzie na kutatua migogoro ya aridhi kati ya wakulima na wafugaji huko vijijini!! Siasa hawaziwezi!!
 
we jamaa huwa sikuelewagi..hivi unaandikaga kichaga au kikibosho? yani wewe ni bogus sana .kama chadema ndio inawategemea viazi kama wewe basi ni hasara
Una hasira km gaidi aliyevaa baibui huku kabeba unga..akiona mbwa inamfuata......Zitto nilidhani ni sura yae tuu mbaya kumbe hadi akili yake ni mbaya...
 
Back
Top Bottom