hawezi kujitoa nje ya CDM hawa kupe..hawawezi simama peke yao.Eti sasa wanwaiata wachaga ....a wana CDM.Wameanza kwa au kabila kama walivyojitoa CDM..watazimika vibaya kuliko CUF..
Nimefungua computa yangu baada ya kupigiwa simu, nikaona yanayosemwa ktk hii thread na pia kwamba wananitaja kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo wangu na ni SACOs ya Freeman Mbowe mkwe wangu. Kwa mantiki gani?
Singetaka kumaliza wakati juu ya ACT, ambacho ni chama kilichoanzishwa wiki mbili zilizopita na Samson Mwigamba aliyefukuzwa kihalali toka CHADEMA. Bado chama hiki hakijapata usajili wa kudumu. Kina jina linalovutia, lakini lazima ujue Kiingereza ulielewe.
Ningeshauri CHADEMA na Watanzania wanaopenda demokrasia na maendeleo ya dhati wajishughulishe na kuimarisha chama kinachoeleweka, cha vijana na wazee wazalendo, jasiri na kinachojali maslahi ya wanyonge. Chama kilicho na uanachama wa kitaifa na kisicho na ubaguzi wa kikanda.
Tumebuni kauli mbiu yetu: HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE!!!!! Tuendelee bila kusita!
naona mzee mtei umeamua kuja kuitetea saccos yako na mkwe wako mbowe. mzee naomba uelewe kwamba saccos yako imeshafilisika, watanzania sio wajinga wa kuburuzwa na saccos yako ya wachaga..hii dhambi ya ubaguzi wa kikanda inaendelea kuwatafuna... mzee mtei . hivi mnavyosema act ni chama cha kiislam na cha waha mnamaanisha nini?
Na sisi tukisema chadema ni chama cha kikristo na cha wachaga mtabisha?
mzee wangu waambie vijana wako waache ubaguzi.
ACT DAIMA. TAIFA KWANZA. CHAMA BAADAE..
unaumwa wewe ..ACT na CUF wapi na wapi act ni chama makini hakina ubaguzi wa dini wala kabila
ACT ni chama cha ukombozi..
ACT (Alliance for Coward Traitors).........Hakina tofauti na CCJ.......Nakipa miezi sita ya ku-survive.....
Malengo ya hiki chama cha kihuni tumeshayajua....
hiyo ndoa uliifungisha wewe. acha bangi dogo
Kumbe unaweza ota ndoto huku umesimama ehh...????
Ukisikia uwiiii ujue limempata......Kitu kimengia ehh....Tulia kiingie vizuri...
kawaida haki haichangamani na batili,hivyo kwa kadiri haki inavyochipua:ndivyo batili nayo inazidi kuchepuka! tatizo tunasahau Mwisho wa ubaya aibu, na ni bora lawama kuliko fedheha!
hayo makubaliano yalifanyika wapi.? acha uongo kwanza zito hausiki kabisa na ACT . act ni chama huru hakina uhusiano na chama chochote kile
Kumbe unaweza ota ndoto huku umesimama ehh...????
Hata Mh. Sitta alipoanzisha CCJ alisema hausiki....Masikini ya Mungu kumbe alikuwa anasoma upepo utakapoelekea....
Kuona upepo ni kimbunga akaamua kukitosa chama....
ACT= CCJ
ACT....(Alliance for Coward Traitors)
we jamaa huwa sikuelewagi..hivi unaandikaga kichaga au kikibosho? yani wewe ni bogus sana .kama chadema ndio inawategemea viazi kama wewe basi ni hasara
Kilaza wa mwisho kama wewe huwezi kumulewa..
ACT....(Alliance for Coward Traitors)
Nashindwa kuamini!!!! Haiwezekani............
act{alliance for change and transparency} malengo yake ni kumkomboa mtanzania
ACT....(Alliance for Coward Tritors)......
Hiyo ya kwako inajulikana hapo Kigoma..
we msukule act itakukomboa kifikra