mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
ACT ni chama makini sana cha siasa. ni mkombozi wa watanzania . Watanzania wote wanaipenda sana ACT
jinga kweli hili shirika limemkomboa nani toa ushahidi.acha kuzomoka huku
ACT ni chama makini sana cha siasa. ni mkombozi wa watanzania . Watanzania wote wanaipenda sana ACT
ACT msikate tamaa,eti ni cha wa kigoma mbona hata CDM ni cha Mtei na mkwe wake mbowe?
Jamani ebu tuweni magreat thinker kwa kuacha kujadili vitu ambavyo havipo na havita kuwepio. Hiyo ACT ndio nini? kama sio kupotezeana muda tu.
Hiki ni chama kipya cha siasa inchini katika kujitambulisha sehemu mbalimbali ,ACT kinajipambanua kama wapigania democrasia wa kweli na wao ni wawazi na kimekuwa kikiwananga wapinzani wenzake hasa CHADEMA eti huko hakuna democrasia wala hakuna uwazi hii imenishangaza kwelikweli,kinajaribu kuwa ambia watu wajiungenacho kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli wala uwazi huko Chadema hapa ndipo ninapo washangaa zaidi,
Nilicho kitegemea mimi viongozi wa chama hichi wangetuuzia sera,itikadi ,dira,mipango,malengo na ilani zoa nilitegemea kuona sera za mazingira,afya,maji,kilimo,uwekezaji ,elimu,uchumi,usawa ,haki na nyingine nyingi kutoka ACT ambazo hazilingani na vyama vingine hasa CHADEMA, lakini mambo ni tofauti wanatuambia tujiungenacho tu kwa kuwa CHADEMA hakuna demokrasia! wala UWAZI haya ni maajabu .Kwa kuwakumbusha tu Chadema kimekuwa sauti ya wasio kuwa na sauti inchini hasa bungeni kimekuwa wasemaji wa watanzania maskini wasio na pa kusemea wamekuwa wawakilishi wa watanzania .
Napenda niwakumbushe ACT kuwa hutukuanza kuipenda CHADEMA hivihivi ila walitenda tukawaona,ACT acheni maneno bila vitendo kwani hizo ni taarabu tu,Napenda kuwa ambia ACT waTZ kwa wingi wao ni maskini wa kutupwa wengi wa walio maliza chuo kikuu wapo mtaani wakirandaranda hakuna ajira, wakulima wengi wanalima kwa jembe la mkono AFYA mbovu elimu inazorota ,barabara mbovu,maji hakuna na mabadiliko hakuna nilitegemea ACT watazungumzia sera hizi na si mapambano walio yaanza,ninapenda kuwaambia ACT hakuna democrasia duniani isiyo na mipaka hakuna.Na napenda kuwa kumbusha wa Tanzania waikumbuke CHADEMA wakati mwingine watakapo piga kura.
ACT ni chama makini.cha siasa
Act ndo mkombozi wa watanzania,cdm ni ukoo wa mtei,ni saccos ya mbowe na genge la wachaga.
ACT ndio nini wakuu?
Naona hiyo kitu inayojiita ACT imeanza kuingiza mamluki humu jukwani. huyu ni mmoja wao.
Join Date : 7th March 2014
Posts : 233
Rep Power : 347
Likes Received23
Likes Given0
act ni ccm a ndo maana misukule ya lumumba inaishabikia humu.
ACT ukoo wa zitto mpalula migebuka chama cha misikitini kimeanza kwa fujo kali utapojua kinaungana na wapambe wa Lumumba angalia mateja yakeAct ndo mkombozi wa watanzania,cdm ni ukoo wa mtei,ni saccos ya mbowe na genge la wachaga.
ACT ukoo wa zitto mpalula migebuka chama cha misikitini kimeanza kwa fujo kali utapojua kinaungana na wapambe wa Lumumba angalia mateja yake
mimi sio mamluki ni mtanzania mzalendo ninaesubiri ukombozi kupitia chama makini cha ACT
chadema tumeshawazoea kwa ubaguzi . kama act ni chama cha misikiti na chadema ni chama cma makanisa?