ACT presha ya nini!

ACT presha ya nini!

potelea mbali waseme vyovyote,mwanzo mgumu lkn wanauhakika na viti 10,kuna vyama vlianzishwa hata kiti kimoja walikosa,na viliishi na badae vikawa tishio,kuliko kuwa mjumbendio na mtumwa na kubaguliwa afadhali muanze upya ili kuwa na demokrasia na uzalendo wa kweli kwa nchi yetu me niko kusini nawasubiri kwa hamu wakina ZITTO.

Aisee.....Zitto alikupa nini mbona unampapatikia hivyo..
 
Samahani wadau mimi nilikuwa Offline siku nyingi sana. Sijui ACT kimesajiliwa lini, nani viongozi wake? Naomba kupewa ufahamu huu

Nenda google ukitafute ukikikosa tu tambua sio chama cha siasa ni kilabu ya pombe iliyopo mwandiga kigoma.
 
kawaida haki haichangamani na batili,hivyo kwa kadiri haki inavyochipua:ndivyo batili nayo inazidi kuchepuka! tatizo tunasahau Mwisho wa ubaya aibu, na ni bora lawama kuliko fedheha!
Sadakta
 
Watanzania wenzangu, kuna watu wanataka kutufanya sisi ni wajinga siku zote, Zitto kabwe, Samsoni Mwigamba na Dr asiyejielewa Kitila Mkumbo, wamekuwa wakichukua fedha kutoka ccm kwa ajili ya kutugawa watanzania tulioungana Chadema kudai haki zetu, na hii ni kutokana na hofu dhidi nguvu ya umma walinayo Chadema, leo hii Zitto anajifanya kukemea ufisadi, wakati fedha wanazopewa na ccm kwa ajili ya kuanzishia ACT hicho chama kipya, ndio mabilioni ya fedha ya walipa kodi yanayoibwa na mafisadi wa ccm, watakuja pigwa mawe hadharani, hatutaki ujinga, upinzani gani Zitto anaoufanya wa kuanzisha chama ili kushindana Chadema, ACT ni mpango wa ccm kuigawa Chadema, ili wao waendelee kuitafuna nchi.
 
Nimefungua computa yangu baada ya kupigiwa simu, nikaona yanayosemwa ktk hii thread na pia kwamba wananitaja kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo wangu na ni SACOs ya Freeman Mbowe mkwe wangu. Kwa mantiki gani?

Singetaka kumaliza wakati juu ya ACT, ambacho ni chama kilichoanzishwa wiki mbili zilizopita na Samson Mwigamba aliyefukuzwa kihalali toka CHADEMA. Bado chama hiki hakijapata usajili wa kudumu. Kina jina linalovutia, lakini lazima ujue Kiingereza ulielewe.

Ningeshauri CHADEMA na Watanzania wanaopenda demokrasia na maendeleo ya dhati wajishughulishe na kuimarisha chama kinachoeleweka, cha vijana na wazee wazalendo, jasiri na kinachojali maslahi ya wanyonge. Chama kilicho na uanachama wa kitaifa na kisicho na ubaguzi wa kikanda.

Tumebuni kauli mbiu yetu: HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE!!!!! Tuendelee bila kusita!
 
Act ndo mkombozi wa watanzania,cdm ni ukoo wa mtei,ni saccos ya mbowe na genge la wachaga.

Kama wewe ni kijana na unamawazo finyu na mabovu namna hiyo namna hiyo basi tanzania itaendelea kukandamizwa mpaka akili yako ita pozinduka

sera ya ukanda na ukabila ni sera ya CCM

sera ya udini ni sera ya kuwagawa watanzania na ku watawala
 
Aisee.....Zitto alikupa nini mbona unampapatikia hivyo..

Me mtu akinyanyaswa nakereka sana,hata wewe ukifanya hivyo kwa mtoto wako me sikubali ntakuuliza potelea mbali,sijapewa kitu ila jamaa kichwa alinifanya nifwatilie siasa ni yanke mwenzangu.lkn me si mwanasiasa.
 
Nimefungua computa yangu baada ya kupigiwa simu, nikaona yanayosemwa ktk hii thread na pia kwamba wananitaja kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo wangu na ni SACOs ya Freeman Mbowe mkwe wangu.

Singetaka kumaliza wakati juu ya ACT, ambacho ni chama kilichoanzishwa wiki mbili zilizopita na Samson Mwigamba aliyefukuzwa kihalali toka CHADEMA. Bado hakijapata usajili wa kudumu. Kina jina linalovutia, lakini lazima ujue Kiingereza ulielewe.

Ningeshauri CHADEMA na Watanzania wanaopenda demokrasia na maendeleo ya dhati wajishughulishe na kuimarisha chama kinachoeleweka, cha vijana na wazee wazalendo, na kinachojali maslahi ya wanyonge.

Tumebuni kauli mbiu yetu: HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE!!!!!

naona mzee mtei umeamua kuja kuitetea saccos yako na mkwe wako mbowe. mzee naomba uelewe kwamba saccos yako imeshafilisika, watanzania sio wajinga wa kuburuzwa na saccos yako ya wachaga..hii dhambi ya ubaguzi wa kikanda inaendelea kuwatafuna... mzee mtei . hivi mnavyosema act ni chama cha kiislam na cha waha mnamaanisha nini?
Na sisi tukisema chadema ni chama cha kikristo na cha wachaga mtabisha?
mzee wangu waambie vijana wako waache ubaguzi.
ACT DAIMA. TAIFA KWANZA. CHAMA BAADAE..
 
Naona unampigania shemeji yako Zitto kwa nguvu zote.
Hongera kwa kusongoka mzeee,ukmaliza pitia na kashata pale gengeni!

mtaongea sana lakini ACT ni chama makini. hata mzee mtei anaelewa hilo ndio maana ameiunga mkono ACT hapo juu kwenye bandiko lake
 
Ukewenza taabu tupu, ACT na CUF si mme mmoja, ndo maana ACT iko kiuno juu na kanga moja kutwa nzima.
 
Ukewenza taabu tupu, ACT na CUF si mme mmoja, ndo maana ACT iko kiuno juu na kanga moja kutwa nzima.

unaumwa wewe ..ACT na CUF wapi na wapi act ni chama makini hakina ubaguzi wa dini wala kabila
 
hiyo ndoa uliifungisha wewe. acha bangi dogo

Kuwa mke wa mtu kunahitaji ndoa?, au watu wawili wakikubaliana??? kama ambavyo CUF na ACT kwa upande mmoja walivyokubaliana na CCM???
 

Attachments

  • ACT.jpg
    ACT.jpg
    18.9 KB · Views: 69
Kuwa mke wa mtu kunahitaji ndoa?, au watu wawili wakikubaliana??? kama ambavyo CUF na ACT kwa upande mmoja walivyokubaliana na CCM???

hayo makubaliano yalifanyika wapi.? acha uongo kwanza zito hausiki kabisa na ACT . act ni chama huru hakina uhusiano na chama chochote kile
 
Back
Top Bottom