ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

umepoteza muda wako kuandika taka taka

ACT-New Zealand, mbona una hasira sana. Karibuni New Zealand,hakuna branch ya chama cha Siasa ktk nchi tofauti na chama kiliposajiliwa.
Karibuni New Zealand, huko Tanzania hao ni matapeli.
 
mh kweli kuna kazi hiki si kiliundwa kutoka CUF then baada ya migongano tena Chadema kunaundwa kingine mh hapa patamu
Mbaya zaidi vyote vinaanzishwa na mtu huyo huyo mmoja< kwanini haya ma MM yasinge ende yenyewe? ama kumuuliza huyo amekifikisa wapi ADC?
 
mkuu, ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa dini, kabila wala kanda

Mwasisi wake alituambia pale Kigoma meza ya Duara kwamba umefika wakati nasisi waha wa Kigoma kuanzisha chama chetu nadhani ndio hicho ambacho viongozi wote hapa Kigoma ni Waislam na shughuri zinapangiwa Misikitini
 
Unakosea mkuu sisi kama wapinzani adui yetu ni sisiemu sio chadema wananchi wamechoshwa na serikali iliyopo madarakani na sio chadema mambo ya ukabila hapa yata tu cost 2015
Adui yetu ni sisiemu na si vinginevyo

nimekuelewa mkuu
 
Unaelewesha vichaa hawezi kukuelewa kitu, huyo adui yake ni CDM.
ACT-Tanzania ndiyo CCM, kwahiyo hawezi kuwa agaist CCM.
ACT original ipo New Zealand kaka.
 
Unaelewesha vichaa hawezi kukuelewa kitu, huyo adui yake ni CDM.
ACT-Tanzania ndiyo CCM, kwahiyo hawezi kuwa agaist CCM.
ACT original ipo New Zealand kaka.

si kweli
 
Hivi nani? Amewaloga watanzania mbona hatutumii elimu zetu kufikiri na kuamua majitu yamekaa kishabiki kila kitu kweli little maind is always problem
 
Unakosea mkuu sisi kama wapinzani adui yetu ni sisiemu sio chadema wananchi wamechoshwa na serikali iliyopo madarakani na sio chadema mambo ya ukabila hapa yata tu cost 2015
Adui yetu ni sisiemu na si vinginevyo

Kama ww adui yako ni ccm, kabla haujaanzisha hicho chama ulifanya utafiti wa kutosha ukaona wa-Tanzania tunataka vyama kuwa lukuki? Mie nadhani upinzani wa kweli ni kuunganisha nguvu (kuwa wamoja) ili kufikia malengo ya kushika dola, ulichokifanya ni unafiki wa kuwalaghai watanzania.
 
Nimeona neno moja tu nalo ni ACT CHAMA MAKINI

Yaani mleta uzi hajui anachokinadi wala hajui malengo ya Watanzania.

Eti chama kisichokuwa na ubaguzi huku unawabeza waliofelishwa na serikali ambao ni wengi kuliko waliofaulu.
 
Chama kinachoanza kwa maneno ya uongo kitaishia kupata uchizi

eti ni chama kinachokua kwa kasi vijijini hebu taja hata kijiji kimoja tu.

Acha ndoto we mpuuzi usifikiri kuanzisha chama ni mchezo.Jiulize tangu 1992 hadi leo ni miaka mingapi.

bila shaka viroba vimekudhuru akili na usipoviacha utatembea uchi mtaani huku ukiongea kwa kurudiarudia neno "CHAMA MAKINI,CHAMA MAKINI"
 
CCJ ilianzishwa na majina ya waanzilishi yalikuwa kwenye makabrasha kwa msajiri wa vyama vya siasa walisema ni chama cha sita walikuwa na sababu zao japo hawakuwa na ushahidi, sasa hujanijibu swali langu ktk uanzishwaji wa chama cha siasa ili chama kipate usajiri ni criteria gani zinatakiwa ziwe-met.......maana ulisema chama hakina mwanzilishi(maana ni illegally registered-some thing like you have raised PO) usikimbie hoja yangu swala la mimi ku-prove beyond reasonable doubt juu ya mwanzishaji na udini na ukanda wake vitakuja baada ya wewe kuupa mjadala legality-kuwa ni chama halali ama si halali, maana sitaki kuthibisha allegations zangu wakati umesha-raise question of doubt kwenye uhalali wa chama, we should ascertain the PO raised before determining the merit of the case itself.

Sijakimbia hoja yako.....wewe umesema ACT ni chama cha udini na ukigoma kwa maana mwanzilishi wake unamjua na ndio maana umetoa mwelekeo huo....Niliposema mwanzilishi wake hajajulikana kwa maana haikuwa wazi kwa wadau kujua nani mwanzilishi wa hicho chama zaidi ya rumors tu kuwepo kwa chama hicho lakini ajabu wewe umeshamjua na kusema ni mdini na mkigoma...but Gazeti la mwananchi la tar 4/3/2014 imeweka wazi Mwigamba ndio mwanzilishi wake na Kadawi Limbu ndio mwenyekiti wake....sasa huo udini na ukigoma upo wapi.....ifike wakti tuwe tunafanya research kabla ya kurukia katika hitimisho.
 
wewe jamaa siwezi kujadili hoja na wewe inaonekana ni mbishi usiyetaka kujenga hoja ila kukimbia hoja mwanzo ulisema mwenye chama hajulikani sasa hivi unadai mwenye chama anajulikana, wht damn shit is this ......
 
Back
Top Bottom