- Thread starter
- #341
CCJ ilikufa hivihivi kwa dhambi ya kuwakana waanzilishi,na huu ndo unafiki wenyewe,sasa hapo transparency iko wapi?
kwa hiyo unang'ang'ania zito awepo? nimeshakuambia zito hayupo act mbona mgumu sana kuelewa?
CCJ ilikufa hivihivi kwa dhambi ya kuwakana waanzilishi,na huu ndo unafiki wenyewe,sasa hapo transparency iko wapi?
Umeona mkuu,mimi hata bendera yao sijaiona lkn nikiishaona manunguniko yametangulia huwa sijihangaishi kuuliza,
najua nyuma kuna nyota.
Dr Slaa ndio kaanzisha uzi huu?
unataka majina ili uyafanyaje mkuu? au mnataka muanze propaganda zenu za udini na ukanda
ajira kama yako ya kuleta umbea huku jf ndio mna uwezo nayo na si vinginevyo.
viongozi wake a kinda nani?
kwa hiyo majina mnapeana kiundugu eeeh watanzania wengine mbona mnatubagua hivi kwanini jamani,Tutaanzaje propaganga za ukanda kama chama kina Sura ya kitaifa? kama kipo kikanda na kikabila tutasema tu sasa we unataka tukae kimya wakati kipo kikanda,ndio maana mnaambiwa hicho ni cha coward traitors
Dah! nani amezungumzia suala la kuanzisha uzi? nimekuambia Babu anakijua chama cha ACT usijitoe ufahamu kamanda.
Sasa ndio useme ni cha nani, Nani kiongozi wake sio kuongozwa na hisia coz ccj kilipo anza mashabiki km wewe walisema cha Sitta na ndio mwenyekiti wake wkt waliokianzisha wengine kwa majina mengine..Hata wewe waweza anzisha chama ukakisajili ukitegemea baadae umfuate mtu fulani mwenye nguvu ili akibebe chama km mwenyekiti.Sasa km wewe unaushahidi ni cha udini na ukigoma tujuze huyo kiongozi wake mdini na mkabila sio kuongozwa kwa hisia na utupe na source.
Umeona mkuu,mimi hata bendera yao sijaiona lkn nikiishaona manunguniko yametangulia huwa sijihangaishi kuuliza,
najua nyuma kuna nyota.
jamani hili swali mbona halina majibu?
Mimi nimekupa taarifa,kuhusu ccj ulitakiwa kuipokea au kuikataa,kwa hiyo unang'ang'ania zito awepo? nimeshakuambia zito hayupo act mbona mgumu sana kuelewa?
Kwa siasa za Tanzania chama chochote kinachotaka kuingia madarakani hasa kwa siku za karibuni nadhani mpinzani wake mkuu ni CCM na wala sio chama kingine chochote,je ACT imewekeza nguvu nyingi kushindana na CDM au CCM? kwanini hata sehemu moja ACT haioni kama CCM ni tishio?
Umeshazoea kulishwa matango pori hata bendera ya USA ina nyota, hayo malalamiko yanatolewa na vilaza wa Chadema.
lumumba mbona mnahangaika sana mlishapoteza kubali maumivu 2015, hakuna cha ccm wala mkewe act, 2015 ni kichapo tuwakuu,
baada ya chama kikuu cha upinzani nchini chadema kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa chadema kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni act.
Act ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
sera kuu ya act ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
Act ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha act.
Naomba kuwakilisha hoja.
kwa hiyo majina mnapeana kiundugu eeeh watanzania wengine mbona mnatubagua hivi kwanini jamani,Tutaanzaje propaganga za ukanda kama chama kina Sura ya kitaifa? kama kipo kikanda na kikabila tutasema tu sasa we unataka tukae kimya wakati kipo kikanda,ndio maana mnaambiwa hicho ni cha coward traitors
Muulize Babu Slaa anakijua alikipigia debe alipokuwa anamtambulisha mgombea wenu Kalenga.
viongozi wa act ni watanzania wasomi wazalendo wa nchi yao
mkuu, unataka ujue nini kuhusu act ? sera zetu ziko wazi ni ukombozi wa watanzania, maendeleo na ajira kwa vijana, tumejipanga kutoa ajira kwa vijana wote wa kitanzania bila ubaguzi