shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 127
nani kakuambia kiko kigoma tu.? act imesambaa nchi nzima kuna wawakilishi kila mkoa na kila wilaya ya tanzania...tatizo lenu misukule mmezoea sana ubaguzi
Mbona kuna vyama kama Chausta,DP,SAU,NRA hamuvizungumzi wala hamutaki kujua viongozi wake? endeleeni kukipa majina mabaya haisaidii mnachofanya ni sawa na kumpiga chura teke.
Heshima mbele mkuu,yaani hapa kwenye mawazo yangu namwona jamaa amevaa suruali nyeupe imepepita magotiUmeshazoea kulishwa matango pori hata bendera ya USA ina nyota, hayo malalamiko yanatolewa na vilaza wa Chadema.
labda kimesambaa huko kwenu na misikitini hiki chama cha wasaliti!!
watz wa sasa wanajitambua sio mbulura kama wewe mchumia tumbo!
mkuu. kuna watu wanakera sana. wamekazania kigoma kigoma , zito anawatesa sana. wehu kabisa hawa
kimesambaa mpaka kanisani. hata kardinali pengo anakijua vizuri sana hiki chama
Hivi vyama ulivyovitaja hakuna aliyewahi kujitaja kuwa ni mbadala wa ccm wala CDM,hicho cha kwenu mnachotaka kuvigeuza vyama vingine kama mawe ya kupandia ndo maana tunawapa za uso,si mmesema kina transparency sasa mnaficha nini kuwataja viongozi je hiyo ndio transparency? Ndo maana mi nimesema ni MAIGIZO kama jina lake lilivyo au hamjui maana ya transparency?Mbona kuna vyama kama Chausta,DP,SAU,NRA hamuvizungumzi wala hamutaki kujua viongozi wake? endeleeni kukipa majina mabaya haisaidii mnachofanya ni sawa na kumpiga chura teke.
Pengo ndo nani????
acha mchecheto twambie,hicho chama chako ni nani kiongozi wake mkuu???
hivi hawa vilaza kwanini wanang'ang'ania sana majina? au wanataka waende wakawaloge? wachawi hawa
Hivi vyama ulivyovitaja hakuna aliyewahi kujitaja kuwa ni mbadala wa ccm wala CDM,hicho cha kwenu mnachotaka kuvigeuza vyama vingine kama mawe ya kupandia ndo maana tunawapa za uso,si mmesema kina transparency sasa mnaficha nini kuwataja viongozi je hiyo ndio transparency? Ndo maana mi nimesema ni MAIGIZO kama jina lake lilivyo au hamjui maana ya transparency?
Wtz tumeishachoshwa na ubabaishaji,kama ni vyama ni vingi ukifukuzwa chama hiki amia kingine Wataz tunataka maendeleo
kiongozi wake mkuu ni msomi mzalendo wa nchi
mkuu. chadema imesambaratika. chadema imejaa ubaguzi na utapeli wa hali ya juu mfano mzuri ni hela ya ruzuku inavyotafunwa pale makao makuu. vyama vyote vya upinzani ni vya hovyo. ndio maana ikaanzishwa act chama makini ili watanzania wapate ukombozi wa kweli na maendeleo ya kweli ya nchi yao
sawa,lakini huyo mzalendo ni nani??? hana jina?? Tusije kuwa tunahangaika na chama cha majini na mapepo!!!!!
kwa nini mnaficha majina ya viongozi wake wakuu ili tuwapime tuone uzalendo wao????
Mbona kuna vyama kama Chausta,DP,SAU,NRA hamuvizungumzi wala hamutaki kujua viongozi wake? endeleeni kukipa majina mabaya haisaidii mnachofanya ni sawa na kumpiga chura teke.
abakarokamo nadhani una leng nyuma yako watu waache kuzungumzia masuala yenye tija kama katiba ya nchi na vyama venye tija kama cdm wahamishe fikra kwenye huu umbea wako.