mfwalamagoha
Senior Member
- Dec 29, 2014
- 172
- 42
Bado hamjazingatia ushauri wangu..?
Hivi hicho chama chenu mmewekeza kwenye picha tu? Kwanini mnashindwa kutoa mrejesho wa kile kilichozungimzwa na wahutubiaji pamoja na kutoa hizo picha,? Kwanini msiwape wanajf Mrejesho wa Wanachama wangapi waliojiunga kwenye mkutano wenu, Au wangapi waliorudisha kadi toka vyama vingine kutokana na kuvutiwa na sera zilizonadiwa kwenye mkutano huo
Unapimaje kwamba Chama kimepokelewa vizuri kwasababu ya umati wa wananchi waliojitokeza hapo? Unajuaje kwamba wote waliofika hapo ni Mashabiki wa ACT na wanaiunga mkono?
Ungekuwa makini ungeweka idadi ya wanachama wanaojiunga kwenye mikutano hiyo na hapo ndipo kilipo kipimo cha kupokelewa na vizuri na watanzania na si Umati wa watu kwenye Mikutano hiyo.
BACK TANGANYIKA
wengine wameenda kumuona zitto ,walikuwa hawajawahi kumuona