ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

Chama changu mie ACT,Mabadiliko na uwazi ni ACT,ndio habari ya Mjini ACT,Ni kufyeka mapori tu ACT?
 
Kwa sasa hivi watu huenda kwenye mikutano ya Act ili kujua kuna nin huko? Wala wana act wasishangilie sana, nimeshuhudia hili kwenye mkutano wa zitto wa songea.
 
Mnashangilia ujinga sababu huyu msaliti akija iringa mjini nitaenda kumsanifu na pumba zake,afu mtasema watu wamehudhuria wengi!.
 
Ama kweli cdm mmeshikwa pabaya. Leo mnaona nongwa kwa watu kuhudhulia mkutano wa wazalendo? Ndio maana mburula wengi wa chadumaa uwezo wao wa kiakili upo chini,kwani inaonekana kama vile vichwa vyenu viliwaelekeza kuwa wananchi ni mali yenu.
Poleni aise maana siasa za chuki wananchi wasasa hatuzitaki. Chuki pelekeni kwenu kilimanjaro.
Watanzania tunataka kiongozi bora na sii bora kiongozi.
We toka lini chama kinaongozwa na f2.
 
MACHAGGADEMA Lazima yakapunguzie STRESS kwenye KISUSIO....
 
Kwa sasa hivi watu huenda kwenye mikutano ya Act ili kujua kuna nin huko? Wala wana act wasishangilie sana, nimeshuhudia hili kwenye mkutano wa zitto wa songea.

wewe ni mfano wa walewale wenye mtindio wa ubongo. Kwahiyo na kwenye vyama vingine huwa wanaenda kusikiliza nini.
Wananchi wanasikiliza ukweli na siasa safi ya kizalendo. Tofauti na chama cha wayege all the time mnawaza shari tu
 
Mnashangilia ujinga sababu huyu msaliti akija iringa mjini nitaenda kumsanifu na pumba zake,afu mtasema watu wamehudhuria wengi!.

Ukitoka hapo utakuwa mjinga uliye jaa pumba kila mahali. Hata ukiuliza unaweza kukataa wewe si mchaga !
 
wewe ni mfano wa walewale wenye mtindio wa ubongo. Kwahiyo na kwenye vyama vingine huwa wanaenda kusikiliza nini.
Wananchi wanasikiliza ukweli na siasa safi ya kizalendo. Tofauti na chama cha wayege all the time mnawaza shari tu

Unajua siasa ya nchi hii kweli we we dogo? kwenye mikutano ya wasaliti yanajaa maccm tu kwa sababu maalumu, na wengine wanaenda kumshangaa msaliti mkuu.Mikutano ya cdm huhudhuriwa na wanachama kwa % kubwa.
 
Kakwsmbia nani upuuzi huo!
 
Mnataka kufahamu nini toka Kwenye Chama cha Wasaliti? Mmeshawafukuza Wasaliti nini kinawanya muendelee kuwafatia kutaka kujua matokeo ya mikutano Yao Wasaliti.wakaimbe wafanye comedi nyinyi inawahusu nini si mmeshamalizana na Wasaliti? Basi Jengeni chama Chenu Leo kulikua na Mkutano wa CDM Mbalizi Mbona hamuulizii wamejiunga wangapi?? Mnawakatisha Tamaa wanakoma kujenga CDM nyinyi mnakesha mitandaoni kutaka kujua mambo ya Wasali.Umemwacha mwenyewe mkeo Ila bado unamfatia eti amesimama na nani Tukueleweje Ndugu

CDM kwa sasa tunamfukuza mwizi kimya kimya pande zote za Tz.Kimeshakuwa chama kikubwa sana hivyo hakiwategemei tena viongozi was makao makuu kufanya mikutano.Hats hapa Magu tuna operation inayoingia wiki ya pili sasa, nayo tunabatiza na kutoa mapepo ya Lumumba watz makumi kwa maelfu.
 
Chama changu mie ACT,Mabadiliko na uwazi ni ACT,ndio habari ya Mjini ACT,Ni kufyeka mapori tu ACT?

Unafyeka mapori kwa kuvaa suti jukwaani au jf? hizo ziara ni za kisanii kama za kinana tu! wenzenu tupo under ground huko mnakopita tulishamaliza kazi wanajitambua na tunao mabalozi na wenyeviti wetu wa mitaa wanafanya kazi daily.
 
kumbe ni kweli, NAANZA KUONA MWENYEKITI WA CHAMA HANA CHAKE
 
Back
Top Bottom