ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

Only in Tanzania wapinzani wanapingana wao kwa wao na si chama tawala.
 
Kwa idadi hii cdm wangekuwa wengi zaidi ila SONGEA jana Act walijaa si mchezo walifanikiwa kuvunja rekodi ya cdm songea

ungehutubia wewe jana stand yoyote ile iwe ubungo ungejaza nyomi hao ni watu walikua kwenye mgomo madereva na abiria angalia zile picha uzisome vizuri
 
Kwenye hiyo mikutano zito hatangazi chama bali anajitangaza yeye...yaan fuull ubinafsi
 
Sasa mnakubali anawadhoofisha subirini dozi iingie mwaka huu mpaka mtataga

mkuu hawa wanashangaza sana kabla hajaondoka waliimba, zito ondoka tuachie chama chetu. Kaondoka kawaachia chama chao, anadhoofisha upinzani. Hawa hawana jema.
 
ungehutubia wewe jana stand yoyote ile iwe ubungo ungejaza nyomi hao ni watu walikua kwenye mgomo madereva na abiria angalia zile picha uzisome vizuri

Mkuu mimi huwa sipendi kushabikia kitu hata kama ukweli upo wazi tumsifu tu kijana ameanza vizuri embu tafuta hata habari za mkutano wake wa njombe ulivyokuwa hata hapo makambako amepata watu wengi ila hajavunja rekodi
 
Wew acha uvivu nan akutafutie kama unahitaji nenda you tube

Sasa wewe kiroboto kama huko YouTube kungekuwa na maana huyu mwenezi wako angekuwa anatafuta nini hapa??

Kwanini uje kutoa habari ukiwa hina details za kutosha? Halafu nyie team Facebook ndio mnaotuharibia mtandao wetu pendwa wa Jf.

BACK TANGANYIKA
 
attachment.php


Kazi ya kueneza Uzalendo inaendelea bila ya kuchoka. Kama kawaida nafurahishwa na namna ambavyo ACT Kimepata mapokezi yakutia moyo kwa wapenda siasa safi

ACT Imedhamiria kuwakomboa watanzania.

Inasemekana kuna chama kimoja cha upinzani kiliandaa kikundi cha watu kufanya vurugu, hila hizo zimeshindikana baada ya wapenda uzalendo kuweka ulinzi wa kutosha.

Inasikitisha kuona chama cha upinzani kinapanga kikundi cha kufanya vurugu katika mkutano wa chama kingine cha upinzani.
Zito mpweke.. umejitelekeza ndio basi tena kwisha habari yako
 
Songambele najua wanajua ila wanajifanya hawajui wanakalia kutuma SMS za chukichukitu huu ni mwaka wa uzalendotu.
 
Kwani wewe hujui kwa ACT ni chama kilicho undwa rasmi kupambana na upinzani wa kweli? Kwani hujui kiwa kinaishi kwa hisani ya mafisadi wa ccm? Au na wewe unakokotwa tu kama tela hujui chochote?upo tu kama ng'ombe anaye enda machinjon? Kazi mnayo watanzania , hata wasomi mnarubunika kirahisi hivi sasa wasio soma sijui hali itakuwaje kwakweli.

mlipomfukuza zitto mlitaka aende kijijini akalime ndo mngefurahi.
 
Bado hamjazingatia ushauri wangu..?

Hivi hicho chama chenu mmewekeza kwenye picha tu? Kwanini mnashindwa kutoa mrejesho wa kile kilichozungimzwa na wahutubiaji pamoja na kutoa hizo picha,? Kwanini msiwape wanajf Mrejesho wa Wanachama wangapi waliojiunga kwenye mkutano wenu, Au wangapi waliorudisha kadi toka vyama vingine kutokana na kuvutiwa na sera zilizonadiwa kwenye mkutano huo

Unapimaje kwamba Chama kimepokelewa vizuri kwasababu ya umati wa wananchi waliojitokeza hapo? Unajuaje kwamba wote waliofika hapo ni Mashabiki wa ACT na wanaiunga mkono?

Ungekuwa makini ungeweka idadi ya wanachama wanaojiunga kwenye mikutano hiyo na hapo ndipo kilipo kipimo cha kupokelewa na vizuri na watanzania na si Umati wa watu kwenye Mikutano hiyo.

BACK TANGANYIKA

Mimi naona wengi wanaohudhuria mikutano yao ni watu wanaokwenda kumshangaa huyo kiongozi mkuu au msaliti mkuu na ndio maana baada ya hapo wote hujirudia nyumbani wakiwa wamebaki na vyama vyao vya awali. Sasa wenyewe wenye chama wakipiga picha umati wa watu na kuwaweka humu jukwaani wanajiona wanakubalika kumbe sivyo
 
Wachaga wameshikwa pabaya na saccos yao.Lazima jamaa aondoke na watu wake wote waliomfuata.
 
Back
Top Bottom