ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

ACT Mkutano wa Makambako (PICHA)

Mimi naona wengi wanaohudhuria mikutano yao ni watu wanaokwenda kumshangaa huyo kiongozi mkuu au msaliti mkuu na ndio maana baada ya hapo wote hujirudia nyumbani wakiwa wamebaki na vyama vyao vya awali. Sasa wenyewe wenye chama wakipiga picha umati wa watu na kuwaweka humu jukwaani wanajiona wanakubalika kumbe sivyo

Umenena pointi
 
Hakuna vurugu zozote ambazo zingetokea kwani ACT-WAZALENDO inalindwa na wananchi wengi kuliko kundi lao.
 
Akili yako ndogo kweli Kwa hiyo ule umati wote walikua act eti.

Wewe ndio akili ndogo sisi tunaongelea habari ya wahudhuliaji kuwa act amepata wengi waliokuja kumsikiliza hatuzungumzii habari za wanachama hapa
 
alipokuwa chadema alikuwa kamanda now sungusungu
 
Endeleeni kudanganyika na umati wa watu mkidhani kuwa umati mkubwa wa watu ndiyo mafanikio, kitakachofuata baadae macho yenu na masikio yenu hayataamini.

Kama umati mkubwa wa watu ndiyo mafanikio,Mrema mpaka sasa hivi angekuwa wakiwango cha Obama kwa umati wawatu aliokuwa ana kusanya ukiacha umati ule uliokuwa unakusanyika mkutanoni barabara nzima alizokuwa ana pita Mrema zilijaa umati wa watu huku wakiimba Mrema,Mrema,CCM kwa heri CCM kwa heri.

Mrema leo kachooka ana tamani kumumaliza hata Kikwete kwa nini kampa Mbatia ubunge wa kuteuliwa wakati havai siketi.

CCM wakiitisha mkutano utakuta umati wa watu umefurika,CHADEMA nao wakiitisha mkutano katika mji huohuo ambao CCM wameitisha mkutano tarehe na muda huohuo utakuta nako kuna umati mkubwa sana wa watu.

Kama CUF nao wanamkutano siku hiyohiyo na muda uleule kwenye mji uleule ambao wenzao wanafanya mikutano yao nako utakuta kuna umati mkubwa wa watu,Nenda uwanjani wanako cheza simba na yanga nako utakuta uwanja umefurika na kutapika.

Umati wa watu siyo kigezo cha mafanikio hata mwendawazimu huwa ana kusanya umati wa watu.
 
Mimi naona wengi wanaohudhuria mikutano yao ni watu wanaokwenda kumshangaa huyo kiongozi mkuu au msaliti mkuu na ndio maana baada ya hapo wote hujirudia nyumbani wakiwa wamebaki na vyama vyao vya awali. Sasa wenyewe wenye chama wakipiga picha umati wa watu na kuwaweka humu jukwaani wanajiona wanakubalika kumbe sivyo

Timumu,

Unachosema ndio ukweli wenyewe, Ndiomaana hawataki kuleta mrejesho hapa ni nini kilichotokea cha maana zaidi picha wazopiga kwenye mikutano hiyo. Ukiwauliza hivyo wanapanic na kukutaka uende YouTube, Ajabu gani hii..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hakuna vurugu zozote ambazo zingetokea kwani ACT-WAZALENDO inalindwa na wananchi wengi kuliko kundi lao.

Acheni kutumia vibaya neno wazalendo,ACT wasaliti ina lindwa na wasaliti wenyewe pamoja na baba mzazi wao(CCM).
 
Bado hamjazingatia ushauri wangu..?

Hivi hicho chama chenu mmewekeza kwenye picha tu? Kwanini mnashindwa kutoa mrejesho wa kile kilichozungimzwa na wahutubiaji pamoja na kutoa hizo picha,? Kwanini msiwape wanajf Mrejesho wa Wanachama wangapi waliojiunga kwenye mkutano wenu, Au wangapi waliorudisha kadi toka vyama vingine kutokana na kuvutiwa na sera zilizonadiwa kwenye mkutano huo

Unapimaje kwamba Chama kimepokelewa vizuri kwasababu ya umati wa wananchi waliojitokeza hapo? Unajuaje kwamba wote waliofika hapo ni Mashabiki wa ACT na wanaiunga mkono?

Ungekuwa makini ungeweka idadi ya wanachama wanaojiunga kwenye mikutano hiyo na hapo ndipo kilipo kipimo cha kupokelewa na vizuri na watanzania na si Umati wa watu kwenye Mikutano hiyo.

BACK TANGANYIKA
Mkuu wangu inawezekana unachosema ni kweli mimi nadhani kwa sasa wanachofanya ACT ni kurusha kokoro ziwani baadae waanze kulivuta tuvute subira najua haupendi lakini ndiyo hivyo siyo kama wanamekataa ushauri wako wanaufanyia kazi.
 
Cdm ndio wanapinga ACT, wakati ACT wapo bize kujijenga. Cdm Kutwa kushambulia Zitto ooh msaliti msaliti! fanyeni yenu ACT hawana muda wa kitoto wa majibizano yasiyo na tija kwa taifa.
 
Mimi naona wengi wanaohudhuria mikutano yao ni watu wanaokwenda kumshangaa huyo kiongozi mkuu au msaliti mkuu na ndio maana baada ya hapo wote hujirudia nyumbani wakiwa wamebaki na vyama vyao vya awali. Sasa wenyewe wenye chama wakipiga picha umati wa watu na kuwaweka humu jukwaani wanajiona wanakubalika kumbe sivyo
umejisikia tu kuandika upumbavu kama huu kwa sababu tu ulifunzwa kusoma na kuandika.!
 
Timumu,

Unachosema ndio ukweli wenyewe, Ndiomaana hawataki kuleta mrejesho hapa ni nini kilichotokea cha maana zaidi picha wazopiga kwenye mikutano hiyo. Ukiwauliza hivyo wanapanic na kukutaka uende YouTube, Ajabu gani hii..!!!

BACK TANGANYIKA
Mnataka kufahamu nini toka Kwenye Chama cha Wasaliti? Mmeshawafukuza Wasaliti nini kinawanya muendelee kuwafatia kutaka kujua matokeo ya mikutano Yao Wasaliti.wakaimbe wafanye comedi nyinyi inawahusu nini si mmeshamalizana na Wasaliti? Basi Jengeni chama Chenu Leo kulikua na Mkutano wa CDM Mbalizi Mbona hamuulizii wamejiunga wangapi?? Mnawakatisha Tamaa wanakoma kujenga CDM nyinyi mnakesha mitandaoni kutaka kujua mambo ya Wasali.Umemwacha mwenyewe mkeo Ila bado unamfatia eti amesimama na nani Tukueleweje Ndugu
 
Mkuu wangu inawezekana unachosema ni kweli mimi nadhani kwa sasa wanachofanya ACT ni kurusha kokoro ziwani baadae waanze kulivuta tuvute subira najua haupendi lakini ndiyo hivyo siyo kama wanamekataa ushauri wako wanaufanyia kazi.

Mkuu Ritz,

Naweza kukubaliana na wewe kwamba sipendi, ili ni ukweli ilio wazi kwamba, kutooenda kwangu kwaweza kuwa na msaada kwao. Matharani Kesho wakija hapa na taarifa za kile kilichosemwa na yaliyotokea kwenye mkutano wao, Si respect wa boda tu atakayefaidika ni.pamoja na wewe na mashabiki wengi tu wa ACT waliopo hapa si wapo wengi lakini?

Na hilo kokoro walilorusha ati wakitegemea kuvuta si ndo tunataka kujua wamevuta nini? Au wanavuta na kuliacha kwenye Maji tena? Hapo watakuwa wamepata nini? Mkulima anapolima shamba anategemea mavuno, asipopata ni bahati mbaya ama kukosea kanuni za Kilimo. Na uzuri Mavuno ya siasa yanatoka hapohapo si kama Mahindi yanayosubiri kupandwa,kupaliliwa na kuwekewa Mbolea. Kisiasa utakachopanda ndicho utakachovuna, na ni muda huohuo..!!

BACK TANGANYIKA
 
Hivi hiki chama so ndio chenye sapoti ya wanaobebwa kwa MALORI???

Nadhani huo UMATI utakua umesombwa toka mikoa ya Pwani.
 
Mnataka kufahamu nini toka Kwenye Chama cha Wasaliti? Mmeshawafukuza Wasaliti nini kinawanya muendelee kuwafatia kutaka kujua matokeo ya mikutano Yao Wasaliti.wakaimbe wafanye comedi nyinyi inawahusu nini si mmeshamalizana na Wasaliti? Basi Jengeni chama Chenu Leo kulikua na Mkutano wa CDM Mbalizi Mbona hamuulizii wamejiunga wangapi?? Mnawakatisha Tamaa wanakoma kujenga CDM nyinyi mnakesha mitandaoni kutaka kujua mambo ya Wasali.Umemwacha mwenyewe mkeo Ila bado unamfatia eti amesimama na nani Tukueleweje Ndugu

Wewe ndugu yangu jiongoze..

Kila siku tunawapigia kelele ccm humu ndani kwani tunamaslahi gani kwao? ACT wanajinasibisha kwamba wao ni chama cha siasa na mi kweli kimesajiliwa kufanya kazi ya siasa hapa Tanzania, Chochote watakachofanya lazima wafuatiliwe bila kujari huko nyuma walitoka wapi? Ebooo, unatokea wapi wewe?

Chama chetu kinajengwa kila siku na wewe mwenyewe umekiri hapa kwamba leo CDM walikuwa na mkutano huko Mbalizi naam ni ktk kukijenga chama we unatakaje? Na kujenga chama si tu kufanya mikutano na maandamano ya hapa na pale, bali unatakiwa kwenda mbali zaidi kulinda wale wanaorubuni watu ambao kimsingi ni wanachama ama wapenzi wa chama chako.Kuhakikisha wanapewa onyo na karipio la kutosha. Hiki ndicho kinachofanyika hapa, hutaki kaa pembeni au baki njia kuu. Mijitu gani mnarubunika kirahisi namna hii...!!

Eeeeenh.. Habari ya mke wangu....!!!!!!

Mke niliyemuacha kamwe siwezi kumfuatilia, ila kama kaondoka na wanangu kwa minajiri ya kuwalea kutokana na udogo wao, Nitamfuatilia kokote atakako kwenda na chochote atakachofanya. Ole wake aniharibie wanangu... Nitanyoka naye kwa gharama yoyote. Na huu ndio wajibu wa mzazi yeyote kama hujui kaa kitako upewe darsa. Vijitu mnarukia kuoa wakati hamjui misingi ya ndoa.. alalaaahhhh..!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom