PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Vilaza wa taifaHaya jamani wale mliomaliza form six wenzangu!,mliokuwa mnadai matokeo hayoo,wiki ijayo ndo wiki ya matokeo.tetesi za tangu 23 april kuwa masomo fulani yamefanya vibaya utajulikana wiki ijayo.