KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
Ahmed msangi ?
Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.
Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.
Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?
Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!
Tunaomba wenye picha yake watuwekee hapa ili tuweze kumfaham vizuri.
Kama kuna mkalimani tafadhali atupe tafsiri ya hiki kilichoandikwa hapa.
Huyu anamiliki msitu wa mabwepande
Kuna uwezekano mkubwa mamemba wenzetu ambao wametoweka humu jamvini wameonja chungu ya huyu jamaa ahmed msangi. tujiadhari sana na viumbe jamii ya huyu nduli
Si akamatwe basi huyo msangi?
Si akamatwe basi huyo msangi?
Nikashangaa li wasira limekuwa li dr sikuhizi.
Kwanini akamatwe na yeye alitumwa kufanya kazi aliyoajiriwa kufanya . Hivi kwenye polisi au jeshi ukipewa order na mkubwa unafikiri kunakusema no? (simaanishi hana hatia, lakini chain ni ndefu; naukianza kumkamata yeye hiyo chain utaimalizia au utaikatia mahali fulani ili kuficha waliomtuma?)