sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.wafanyakazi wa serekali kibao.madokta,madkta.kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi?mnaona wachina?Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa.low production.na serekali dhaifu atutaki.tunataka madikteta,sha choka na lawama za kijinga!