Hili jambo ni very serious
tena kwa nchi inayotegemea Utalii
yetu macho.......utadhani watawala hawajui ni kiasi gani nchi za magharibi ambazo ndio tourist generating countries kwa Zanzibar/Tanzania ziko makini na usalama wa raia wao
Nivema Polisi wakaendelea tena kwa juhuzi kubwa kuwakamata na kuwanyanyasa wapinzani na kuacha criminal curtail zikandeleza Umafia wao kwenye Madawa ya kulevya, uhalifu na dhulma ndhini ya viongozi wa kidini
tangu amwagiwe tindikali msaidizi wa Mufti...akapigwa risasi na kunusurika Padre..akauwawa padre....hatujaona Polisi wakileta majibu yao ya kichunguzi ni siasa tu...