Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

mh!kumbe wayahudi?hapo si bure.ila hawa si watu wa kushambuliwa,tunatafuta matatizo!ndio maana tukio limerushwa dunia nzima.na hapa napo tutasema ni madawa ya kulevya?tukubali tuna tatizo la ugaidi nchini.kwa nini serikali imekalia kesi hizi?siku rocket ya katyusha toka tel aviv ikitua magogoni ndio mtaelewa umuhimu wa kulinda raia.mpaka aumizwe nani ndio tutastuka?

Kumbe wayahudi! Ijumaa ya tar 2 Agosti baada swala ya ijumaa kulisambazwa vipeperushi vya kulaani wayahudi na Israel kwa ujumla nchi nzima. Vijana kadhaa hapa kwetu walionekana wamevalia T-shirt zilizoandikwa laana hizo kwa wayahudi. Nafikiri hayo ndo matokeo yake sasa.
 
Mlaleo...mkuu kwa hayo maelezo na takwimu ulizotoa hii ligi siiwezi-kwamba walipo watano basi watatu ni Waislamu (60%)? halafu kwa tafsiri hiyo basi hao wawili (40%) waliobaki moja anaweza kuwa Mbudha na mwingine pengine dini za asili za kiafrika!Tutaishia kubishana tu.Acha nibaki kuwa Mtanzania ambaye ninajua ninachokiamini.

Haina Noma na asante kwa kukubali kwani mimi sina la kusema zaidi kwani sehemu kubwa ya Dunia yajua Muslim ni Wengi hapa Nchini kwetu Tanzania
 
Kumbe wayahudi! Ijumaa ya tar 2 Agosti baada swala ya ijumaa kulisambazwa vipeperushi vya kulaani wayahudi na Israel kwa ujumla nchi nzima. Vijana kadhaa hapa kwetu walionekana wamevalia T-shirt zilizoandikwa laana hizo kwa wayahudi. Nafikiri hayo ndo matokeo yake sasa.
Kwa kawaida Watu wanaoilaani Israel most of the time huwa laana zinarejea Kwao Mifano ni Mingi haya ni maneno ya Manabii Miaka na Miaka... walisema wanaowalaani Wana wa Israel Mungu atawalaani wao na atakaye wabariki wana wa Israel Mungu atawabariki pia.... Na hili ni Thibitisho ambalo Marekani anatumia Mwanya huo kuwabariki Waisrael na Ndivyo anavyobarikiwa kwa Mambo Mengi.... Tizama hao Waarabu wanavyopata Shida kwa kutwa nzima kuwalaani Waisrael.... Msaudi yeye huwa Kimya anayajua hayo hawezi ilaani Israel kwani anajua akilaaniwa ataangushwa chini PU...! na Mungu
 
Mkuu umechekesha Wasema Israel haiwajui hao Wasichana..... Pole Sana nadhani huwaelewi Jews.... Wanajua na wanajulikana hadi idadi yai Duniani kote...
Habari hiyo imepambwa kwenye Website yao na kuna picha hiyo hapo

438107.jpg
One of the victims of the Zanzibar attack
Reuters

Two Jewish British teenage girls
Jewish Teens Return Home After Zanzibar Attack - Jewish World - News - Israel National News

Yeah Lakini Hao Wasichana ni Miaka 18 kama kweli wanaujua U ZIONIST wangeenda ISRAEL na kufanya JESHI kwa Mwaka MMOJA kama sisi tulivyokuwa na JKT...

Wengi wenye Uhusiano huo Wanarudi ISRAEL na kutumikia JESHI LAO at that Age; Lakini wao walikwenda Zanzibar kuwatumikia WATOTO YATIMA wa KIISLAMU

Jamani badala ya kutafuta sababu na jinsi ya kutatua hili tatizo tunajifanya wababe eti hao wasichana ni ZIONIST so did they deserve ACID to their BODY and FACE?

Uliwaona Wako Zanzibar kutaka kuua? Umesikia SERIKALI ya ISRAEL ikiongelea hili suala?

Brooklyn NY kuna ENEO linaitwa CROWN HEIGHTS, Hilo Eneo wanaoishi ni Blacks na Jews... walikuwa wanapambana sana na Blacks walikuwa wanawauwa JEWS.... Lakini hata siku MOJA Hatukusikia kuwa MOSSAD or JEWISH Intelligence imelipiza kisasi

Wao Wananchi wao eneo hilo walikaa chini na kutafuta ni nini sababu ya kuchukiana kiasi hicho; Wamelitatua; CROWN HEIGHTS sasa ni salama...

Kwahiyo JARIBU KUTOTUPOTOSHA...
 
Haina Noma na asante kwa kukubali kwani mimi sina la kusema zaidi kwani sehemu kubwa ya Dunia yajua Muslim ni Wengi hapa Nchini kwetu Tanzania

Dini zote zilifika hapa Tanzania karne ya 17 kabla ya hapo Karne ya 16 tulikuwa na Imani zetu safi... na hazikuwa zinatuhadaa kiasi hiki...

Wageni Wazungu na Waarabu kabla ya wao kuondoka wakatuachia MZIGO -- DINI ZAO tuwe tunaziimba USIKU na MCHANA na IF POSSIBLE tuuane...

Kabla ya Karne hiyo ya 17... Tulikuwa salama kabisa na IMANI ZETU... Wapo ambao bado wanazifuata IMANI hizo na wako sawasawa na SISI...

Hawakuchukua hizo DINI za Wageni Wetu WAARABU na WAZUNGU na hawajapungukiwa na kitu chochote kwenye MAISHA YAO... so where is the BEEF???
 
Braza basi usiwe mvivu walau hata wa kufanya research ya habari unazozisoma hapa mtandaoni na kujua kama umepelekwa chaka au la....nakupa habari kamilifu kaifanyie kazi "Daily Mail is the United Kingdom's second biggest-selling daily newspaper after The Sun". kama kimauzo linaongoza na habari zake zinaaminika, unataka kutuaminisha kwamba haliheshimiki?

Na hapa London penyewe waingereza wanasema if its not on BBC or Daily mail thats not news....!

Braza tusijipe moyo, hii habari ishatuchafua.....!

Na hapo kwenye red ndipo ulipokosea na "research" zako za wikipedia. Kwa logic yako, The sun ndiyo gazeti linaloheshimika kuliko yote Uingereza. Sijui kama umewahi kuishi Uingereza au laa. Watu wanaosoma "the sun" ni wengi sana, lakini hiyo haiifanyi the sun kuwa gazeti linaloheshimika. Na dailymail ndiyo hiyo hivyo. Dailymail linasomwa na watu wengi sana, lakini hiyo haiifanyi kuwa gazeti linaloheshimika. Kwa mfano, dailymail halihesabiki kuwa miongoni mwa "credible sources" za magazeti Uingereza. The guardian, Daily telegraph, the independent and financial times ndiyo magazeti yanayoheshimika. Na dailymail na the sun yanauzwa sana kutokana na bei yao na maudhui yake ni kwa ajili ya watu wanaopenda udaku, na ambao wako wengi sana uingereza.
 
Kwa kawaida Watu wanaoilaani Israel most of the time huwa laana zinarejea Kwao Mifano ni Mingi haya ni maneno ya Manabii Miaka na Miaka... walisema wanaowalaani Wana wa Israel Mungu atawalaani wao na atakaye wabariki wana wa Israel Mungu atawabariki pia.... Na hili ni Thibitisho ambalo Marekani anatumia Mwanya huo kuwabariki Waisrael na Ndivyo anavyobarikiwa kwa Mambo Mengi.... Tizama hao Waarabu wanavyopata Shida kwa kutwa nzima kuwalaani Waisrael.... Msaudi yeye huwa Kimya anayajua hayo hawezi ilaani Israel kwani anajua akilaaniwa ataangushwa chini PU...! na Mungu

Mbona Ujerumani halaniwi? Hakuna taifa lililowafikicha waisrael duniani kama Ujerumani. Na bado Ujerumani ni taifa lililobarikiwa katika kila kitu na Mungu.
 
Na hapo kwenye red ndipo ulipokosea na "research" zako za wikipedia. Kwa logic yako, The sun ndiyo gazeti linaloheshimika kuliko yote Uingereza. Sijui kama umewahi kuishi Uingereza au laa. Watu wanaosoma "the sun" ni wengi sana, lakini hiyo haiifanyi the sun kuwa gazeti linaloheshimika. Na dailymail ndiyo hiyo hivyo. Dailymail linasomwa na watu wengi sana, lakini hiyo haiifanyi kuwa gazeti linaloheshimika. Kwa mfano, dailymail halihesabiki kuwa miongoni mwa "credible sources" za magazeti Uingereza. The guardian, Daily telegraph, the independent and financial times ndiyo magazeti yanayoheshimika. Na dailymail na the sun yanauzwa sana kutokana na bei yao na maudhui yake ni kwa ajili ya watu wanaopenda udaku, na ambao wako wengi sana uingereza.

Mkuu nadhani somo langu la kukutaka ufatilie zaidi habari limeeleweka vema, majibu uliyoleta hapa inaonesha ni jinsi gani umetendea kazi ushauri wangu. Ila uwe unasoma habari ya mtu na kuilewa kiundani; mimi kuandika kuwa gazeti linaloheshimika hakufanyi magazeti mengine kutoheshimika (orodha uliyoiweka hapo yanaheshimika pia, ila Dailymail nalo limo vile, huwezi kuliondoa na kupotosha ukweli), na unataka kutuaminisha kuwa Dailymail ni gazeti la udaku,SI KWELI, dunia tuliyopo sasa bwana mjomba huwezi kudanganya mtu (kila taarifa iko mtandaoni)!

Tena habari ikiwekwa kwa Daily Mail inafikiwa na watu wengi sana cause ni gazeti pendwa na mauzo yake yako juu.
 
Mbona Ujerumani halaniwi? Hakuna taifa lililowafikicha waisrael duniani kama Ujerumani. Na bado Ujerumani ni taifa lililobarikiwa katika kila kitu na Mungu.
Wajua Germany before kuwatesa Wayahudi walikuwa ndio super power wa dunia hii! walipenya kila kona hadi dunia ilipostuka ndipo ikaminywa hadiikagawanyika.. hujui na hilo? baadae walitulia na waliomba msamaha na kila mwaka wanakuwa na kumbukumbu na kuombea wayahudi waliouwawa nchini ujerumani... nadhani hata Mungu kawasamehe... Sasa wewe Pia Jaribu kuwalaani uone... kwa njia yeyote ile lazima utapata Majanga... hilo ni la uhakika
 
Dini zote zilifika hapa Tanzania karne ya 17 kabla ya hapo Karne ya 16 tulikuwa na Imani zetu safi... na hazikuwa zinatuhadaa kiasi hiki...

Wageni Wazungu na Waarabu kabla ya wao kuondoka wakatuachia MZIGO -- DINI ZAO tuwe tunaziimba USIKU na MCHANA na IF POSSIBLE tuuane...

Kabla ya Karne hiyo ya 17... Tulikuwa salama kabisa na IMANI ZETU... Wapo ambao bado wanazifuata IMANI hizo na wako sawasawa na SISI...

Hawakuchukua hizo DINI za Wageni Wetu WAARABU na WAZUNGU na hawajapungukiwa na kitu chochote kwenye MAISHA YAO... so where is the BEEF???
Wamepungukiwa ndio maana bado wanazo hiyo karne ya 17 uisemayo kuwa tulikuwa na dini zetu safi hilo me nalikataa kwani kulikuwa na ile kitu kutoa tambiko damu ya mtu lazima imwagike hostoria haijawahi sema amani ilikuwepo zaidi kulikuwa na watemi hawakutenda haki ipasavyo... Hizi Dini ni kweli zinachanganya sana watu moja ukimuamini yeye utaona mbingu na nyingine inasema mswalie huku haielezi wewe utaswaliwa na nani! hii ni kama mitego na watu hawajastuka... kwa maoni yangu hizi dini zipo kwa ajiri ya kleta amani tu kwani biadamu tuna roho mbaya sana so dini hupunguza kwa sana maasi
 
Umeona kosa lako? Unazungumzia MOJA ya HIZO MILA zilizokuwa zinafanya MATAMBIKO kama hayo unayoyasema zingile zilikuwa haizina vitu kama hivyo hata kidogo;

Sababu zingine zilikuwa zinafuata JUA zingine NYOTA kwahiyo sio kuwa zote zilizamia kwenye MATAMBIKO lakini kuna zilizofanya MATAMBIKO na kuwa yanatokea... kama vile kuomba MVUA; kusimamisha MVUA sababu ya MAFURIKO

Kama DINI zilivyo na Uzuri wake na ubaya wake...
 
Mkuu nadhani somo langu la kukutaka ufatilie zaidi habari limeeleweka vema, majibu uliyoleta hapa inaonesha ni jinsi gani umetendea kazi ushauri wangu. Ila uwe unasoma habari ya mtu na kuilewa kiundani; mimi kuandika kuwa gazeti linaloheshimika hakufanyi magazeti mengine kutoheshimika (orodha uliyoiweka hapo yanaheshimika pia, ila Dailymail nalo limo vile, huwezi kuliondoa na kupotosha ukweli), na unataka kutuaminisha kuwa Dailymail ni gazeti la udaku,SI KWELI, dunia tuliyopo sasa bwana mjomba huwezi kudanganya mtu (kila taarifa iko mtandaoni)!

Tena habari ikiwekwa kwa Daily Mail inafikiwa na watu wengi sana cause ni gazeti pendwa na mauzo yake yako juu.

Sijui ushauri wako gani nilioufanyia kazi sielewi mpaka sasa. Dailymail siyo "serious paper" uingereza. Tena hayo magazeti mawili uliyoyataja, the sun linaitwa "Rug" na dailymail linaitwa "dailyfail". Dailymail siyo gazeti linaloheshimika, na ndiyo maana linasomwa na watu wengi.
 
Wajua Germany before kuwatesa Wayahudi walikuwa ndio super power wa dunia hii! walipenya kila kona hadi dunia ilipostuka ndipo ikaminywa hadiikagawanyika.. hujui na hilo? baadae walitulia na waliomba msamaha na kila mwaka wanakuwa na kumbukumbu na kuombea wayahudi waliouwawa nchini ujerumani... nadhani hata Mungu kawasamehe... Sasa wewe Pia Jaribu kuwalaani uone... kwa njia yeyote ile lazima utapata Majanga... hilo ni la uhakika

Duh! superpower gani ambaye alipigwa vita ya kwanza ya dunia?
 
Kama hutaki sina haja ya kujibishana.... kwani kupigwa ndio huwezi kuwa super power? mbona hata Italia au Roman walikuwa superpower na wakaja kushindwa...
 
Mkuu nadhani somo langu la kukutaka ufatilie zaidi habari limeeleweka

Tena habari ikiwekwa kwa Daily Mail inafikiwa na watu wengi sana cause ni gazeti pendwa na mauzo yake yako juu.

Tazama bei ya magazeti Uingereza hapa chini.
1. The sun = £0.30
2. Dailymail = £0.55
3. Telegraph = £1.20
4. Guardian = £1.20
5. Financial Times = £2.20.

Sasa kama ulipata angalau alama D kwenye basic mathematics ya form four, unaweza kuelewa kwa nini daily mail na the sun yanasomwa sana.
Na kama una ufahamu wa mambo, unaweza kuelewa kwanini dailymail linauzwa bei ambayo ni chini ya nusu ya bei ya magazeti mengine. Usiwe unakurupuka kwa sababu tuu gazeti ni la uingereza na kilichoandikwa unakipenda. Dailymail is a newspaper for mentally deranged people.
 
Back
Top Bottom