Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

Wala sio alqaeda,wahuka ni extremist islamic cult likely uhamsho na lingine lolote local hapo hapo zanzibar.

I can clearly see the driving reason is what the innocent volunteers were doing in zanzibar "teaching" most islamic extremists hate education,but they are also to blame,they know quite well,zanzibar is no different from nothern nigeria and you go there to volunteer education.am sorry for them.
 
mh!kumbe wayahudi?hapo si bure.ila hawa si watu wa kushambuliwa,tunatafuta matatizo!ndio maana tukio limerushwa dunia nzima.na hapa napo tutasema ni madawa ya kulevya?tukubali tuna tatizo la ugaidi nchini.kwa nini serikali imekalia kesi hizi?siku rocket ya katyusha toka tel aviv ikitua magogoni ndio mtaelewa umuhimu wa kulinda raia.mpaka aumizwe nani ndio tutastuka?
 
Tukio lile litaigharimu zanzibar kwa kiwango hata wasichokielewa ni nani leo atakayekubali ku volunteer kwenda zanzibar kufundisha hata kutibu maana zanzibar itawekwa ktk mtandao wa volunteer kuwa ni dangerous place to volunteer kwa sababu ya mashambulizi mabaya dhidi wa wageni na hasa baada ya serikali zote mbili kushindwa kabisa kuvidhibiti vitendo hivyo na usalama ndio kitu cha muhimu kuliko vyote kabla mtu ajakubali kwenda kujitolea nchi yeyote ile.
 
-Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza Skynews, Shirika la Upelelezi la Uingereza Scotland Yard watatua nchini Tanzania kuanza shughuli ya upelelezi kuhusiana na umwagiwaji wa Tindikali kwa mabinti wawili raia wa nchi hiyo. Licha ya hiyo, serikali uaingereza imewaonya raia wake kutokwenda Zanzibar. Source Skynews

My Take: Ina maana polisi wa Tanzania hawaaminiki hadi na nchi za nje au uwezo ndio hawana?
 
-My Take: Ina maana polisi wa Tanzania hawaaminiki hadi na nchi za nje au uwezo ndio hawana?
Mpaka leo ulikuwa hujui kwamba polisi wetu hawaaminiki? Hujui nani aliyewaua wafanyabiashara wa madini na kusingizia kuwa ni majambazi? Wanaouawa kwenye mikutano ya CDM nani anawaua? Waliombambikizia fuvu la kichwa mfanya biashara pale morogoro ni nani?... Iwapo wewe na mimi hatuwaamini unadhani wageni watakosa kujua?
 
wanakuja kuongeza nguvu. after all waliojeruhiwa ni raia wao!

-Kwa mujibu wa
Shirika la Habari la Uingereza Skynews, Shirika la Upelelezi la
Uingereza Scotland Yard watatua nchini Tanzania kuanza shughuli ya
upelelezi kuhusiana na umwagiwaji wa Tindikali kwa mabinti wawili raia
wa nchi hiyo. Licha ya hiyo, serikali uaingereza imewaonya raia wake
kutokwenda Zanzibar. Source Skynews

My Take: Ina maana polisi wa Tanzania hawaaminiki hadi na nchi za nje au
uwezo ndio hawana?
 
Hapo sasa, kwa jinsi jeshi letu la polisi lilivyo corrupt. ...ni aibu hii
 
Two Jewish teens from London victims of acid attack in Zanzibar
DEBKAfile August 9, 2013, 7:15 PM (GMT+02:00)
Katie Gee and Kristen Trup, both 18, were walking in the Zanzibar capital of Stone Town in their last week of a trip as volunteer teachers, when two men on a moped threw acid at them. They suffered severe burns to their hands, chests and faces. The girls, both members of the Federation for Zionist Youth, arrived in the UK Friday, accompanied by their families, and were admitted to a London hospital after receiving first aid care at a hospital in Dar es-Salaam. Zanzibar police have offered a reward of 10m Tanzanian shillings ($6,170) for information leading to the capture of the attackers. Earlier this year, two Christian leaders were killed on the predominantly Muslim island province and in November a cleric was treated in hospital after an acid attack.

source:Two Jewish teens from London victims of acid attack in Zanzibar

MT TAKE:
Kuna uwezekano waliowashambulia walijua kuwa hawa ni Waisrael? na kama ni kweli basi Alqaeda wanahusika na tusishangae kusikia MOSSAD wamelipiza kisasi huko.

You should stop THAT; Kuwa MEMBERS wa ZIONIST YOUTH sio kuwa wao wanafuata MISINGI ya KIYAHUDI... Wayahudi Wako kona zote DUNIANI kama vile Wahindi Walivyo kona zote DUNIANI au Wazanzibari walivyo wengi UINGEREZA sasa kuna wazanzibari walio UINGEREZA ambao ni Wanachama wa CUF haina Maana wanapenda ya UAMSHO au yote yanayosemwa na JUSSA...

Hata kidogo; Na ISRAEL hata hawawajui hao Wasichana; Kwahiyo Msianze tabia ya kutishiana ndio hiyo tuliyonayo hatutaki kujadili yaliyotokea ni kwanini na sababu gani na kwanini tusizuie

Wewe unaandika kuwatishia Wananchi...
 
Mtiaji tindikali hatopatikana coz ndio hiyo hiyo serekali iliyofanya.
 
mh!kumbe wayahudi?hapo si bure.ila hawa si watu wa kushambuliwa,tunatafuta matatizo!ndio maana tukio limerushwa dunia nzima.na hapa napo tutasema ni madawa ya kulevya?tukubali tuna tatizo la ugaidi nchini.kwa nini serikali imekalia kesi hizi?siku rocket ya katyusha toka tel aviv ikitua magogoni ndio mtaelewa umuhimu wa kulinda raia.mpaka aumizwe nani ndio tutastuka?
kustukaje,kama hamna lead ya kuwapata wahusika unafanyaje,kumbuka hiyo ni hit and run,very difficult to solve.
 
Wala sio alqaeda,wahuka ni extremist islamic cult likely uhamsho na lingine lolote local hapo hapo zanzibar.

I can clearly see the driving reason is what the innocent volunteers were doing in zanzibar "teaching" most islamic extremists hate education,but they are also to blame,they know quite well,zanzibar is no different from nothern nigeria and you go there to volunteer education.am sorry for them.
They must have been in a mission,and that teaching was just a smokescreen.
 
Wataalam husema jinsi matukio mengine yanavyotokea kuyatatua ngumu. Ila ikipatikana lead watafukua mpaka kieleweke. Wakome kushambulia shambulia
 
-Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza Skynews, Shirika la Upelelezi la Uingereza Scotland Yard watatua nchini Tanzania kuanza shughuli ya upelelezi kuhusiana na umwagiwaji wa Tindikali kwa mabinti wawili raia wa nchi hiyo. Licha ya hiyo, serikali uaingereza imewaonya raia wake kutokwenda Zanzibar. Source Skynews

My Take: Ina maana polisi wa Tanzania hawaaminiki hadi na nchi za nje au uwezo ndio hawana?

Jiulize tuu mwenyewe, we unawaamini?
 
Serikali ya kikwete ilaumiwe kwa haya yote kwani imeyafuga na kwa upande mwingine imebariki vitendo hivi. Shame!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu mlengo wa habari umekaa vibaya sana. Sidhani kama sababu ya kushambuliwa kwao kuna mahusiano ya moja kwa moja na utaifa wao.
 
Hivi hapa TZ kuna mtuhumiwa wa kumwagia watu tindikali aliyewahi kutiwa hatiani kwa kosa hilo? Dhambi hii ilianzishwa na serikali kwa kuwamwagia waandishi wa habari wa Mwanahalisi. Na hivyo wakawafundisha wahalifu wengine namna ya kuitumia na huenda serikali yenyewe inahusika.
 
Mengi huwa yanasemwa lakin mm naweza kusema lawama zote ni kwa polis na serikali yake. Kama utakaa na kuleta fikra pana utakubaliana na mm kuwa taatifa zinatolewa ila baada ya mtuhumiwa kukamatwa polis ndio wanamtaja mtoa habar kwa mtuhumiwa matokeo yake unapata uadui usio na faida
 
Back
Top Bottom