Acid attack on 2 British women in Zanzibar!

Hoko Palestina myahudi mmoja akidhuriwa huwa mamia ya wapalestina wanaumizwa kwa kisasi. Why can't Israel do the same to Zanzibar!
 
Mh! Jews??? Mbona hawa watu ni target dunian kote?
Nimeona ktk vyombo vya habari vya Israel kua wayahudi ni target dunian kote wakatoa mf UK mmoja kafanyiziwa, Russia Rabbi mmoja kafanyiziwa, Ufaranza nako wanafanyiziwa na sehemu kibao za Amerika ya kaskazini! sasa nimeshangaa kuona Israel wamezuia raia wao kuja Tanzania na wakasema kua ni predominantly muslim country na zanzibar wakasema 99% ni muslim sasa nikajiuliza izi takwimu za Tanzania kua ni nchi yenye Waislam wengi wameitioa wapi?
 
Mkuu rudia kuisoma habari vizuri.Kama rejea yako ni hiyo mada iliyoletwa, hakuna mahali walipoitaja Tanzania, isipokuwa Zanzibar. Na walichoeleza ni ukweli.Zanzibar 99% ni Waislamu.Halipingiki hilo.Period.
 
You should stop THAT; Kuwa MEMBERS wa ZIONIST YOUTH sio kuwa wao wanafuata MISINGI ya KIYAHUDI... Wayahudi Wako kona zote DUNIANI kama vile Wahindi Walivyo kona zote DUNIANI au Wazanzibari walivyo wengi UINGEREZA sasa kuna wazanzibari walio UINGEREZA ambao ni Wanachama wa CUF haina Maana wanapenda ya UAMSHO au yote yanayosemwa na JUSSA...

Hata kidogo;
Na ISRAEL hata hawawajui hao Wasichana; Kwahiyo Msianze tabia ya kutishiana ndio hiyo tuliyonayo hatutaki kujadili yaliyotokea ni kwanini na sababu gani na kwanini tusizuie

Wewe unaandika kuwatishia Wananchi...
Mkuu umechekesha Wasema Israel haiwajui hao Wasichana..... Pole Sana nadhani huwaelewi Jews.... Wanajua na wanajulikana hadi idadi yai Duniani kote...
Habari hiyo imepambwa kwenye Website yao na kuna picha hiyo hapo

438107.jpg
One of the victims of the Zanzibar attack
Reuters

Two Jewish British teenage girls
http://www.israelnationalnews.com/News/News.aspx/170753#.UgXv96wV6_I
 
Tukio lile litaigharimu zanzibar kwa kiwango hata wasichokielewa ni nani leo atakayekubali ku volunteer kwenda zanzibar kufundisha hata kutibu maana zanzibar itawekwa ktk mtandao wa volunteer kuwa ni dangerous place to volunteer kwa sababu ya mashambulizi mabaya dhidi wa wageni na hasa baada ya serikali zote mbili kushindwa kabisa kuvidhibiti vitendo hivyo na usalama ndio kitu cha muhimu kuliko vyote kabla mtu ajakubali kwenda kujitolea nchi yeyote ile.

Zanzibar itakuwa kama somalia tu
 
Mkuu rudia kuisoma habari vizuri.Kama rejea yako ni hiyo mada iliyoletwa, hakuna mahali walipoitaja Tanzania, isipokuwa Zanzibar. Na walichoeleza ni ukweli.Zanzibar 99% ni Waislamu.Halipingiki hilo.Period.

Ni Kweli Tanzania inajulikana kuwa ni Nchi ya Kiislam Hata mimi nimesoma kwenye News
 
vyombo vingine vya habari vinasema hao wasichana wa kiingereza, walikuwa wayahudi lakini raia wa uingereza. i am really very sad about this.
 
Wadau,
Gazeti na mtandano unaoheshimika UK na US (Dailymail) wametoa hii habari kinagaubaga.
Hili swala la hawa mabinti linazidi kututia doa kimataifa....ukisoma comments za wachangiaji kwa huu mtandao utagundua ni jinsi gani tunazidi kupoteza ile picha ya kisiwa cha amani.

Jisomee mwenyewe: Burned beyond imagination: Acid burn girls rushed to a London hospital as island police hunt Islamic radicals and witness describes hearing 'hair-raising' screams of pain | Mail Online

Ni kweli kama tutawaachia wanasiasa kutafuta madaraka kwa nguvu kama hivi hakika tutatoweka kabisa katika ramani ya nchi zenye amani duniani.
 
Mdau, tangu lini dailymail likawa ni gazeti linaloheshimika?

Kwanza dailymail ni gazeti la mrengo wa kulia kabisa. (far right wing newspaper) kama ilivyo foxnews tv channel.
 
Hoko Palestina myahudi mmoja akidhuriwa huwa mamia ya wapalestina wanaumizwa kwa kisasi. Why can't Israel do the same to Zanzibar!

NAamini Kama MOSSAD wasipo tumia Busara Sheikh Ponda na Uamsho this time watakuwa wameingi cha KIKE.

Kama Wakitumia Busara/Intelejensia yao na Amini Kisasi kitalipwa inavyotakiwa, Kumbuka hawa Jamaa huwa hawapigi kelel, wao ni Kimyakimya!
 
Mdau, tangu lini dailymail likawa ni gazeti linaloheshimika?

Kwanza dailymail ni gazeti la mrengo wa kulia kabisa. (far right wing newspaper) kama ilivyo foxnews tv channel.
 
Wadau,
Gazeti na mtandano unaoheshimika UK na US (Dailymail) wametoa hii habari kinagaubaga.
Hili swala la hawa mabinti linazidi kututia doa kimataifa....ukisoma comments za wachangiaji kwa huu mtandao utagundua ni jinsi gani tunazidi kupoteza ile picha ya kisiwa cha amani.

Jisomee mwenyewe: Burned beyond imagination: Acid burn girls rushed to a London hospital as island police hunt Islamic radicals and witness describes hearing 'hair-raising' screams of pain | Mail Online

Kwa kweli waliofanya kitendo hicho wanastahili laana...Mtikila alisema mungu alitenganisha geographically zanzibar na Tanganyika alikuwa na maana leo hii hawa watu wanakuja kutuchafulia taswira ya taifa letu...sijui kwa nini nyerere alikubali kuingia mkenge na hawa watu wasio na chembe ya ubinadamu
 
Hoko Palestina myahudi mmoja akidhuriwa huwa mamia ya wapalestina wanaumizwa kwa kisasi. Why can't Israel do the same to Zanzibar!

Serikali inawachekea Shekh Ilunga,Ponda na Profesa wao wanaohubiri Udini.Ila kwa Mziki wa ISRAEL nadhani Wazanzibar watagundua ni kwanini Waarabu wanamwita ni MtoaRoho.
 
Braza basi usiwe mvivu walau hata wa kufanya research ya habari unazozisoma hapa mtandaoni na kujua kama umepelekwa chaka au la....nakupa habari kamilifu kaifanyie kazi "Daily Mail is the United Kingdom's second biggest-selling daily newspaper after The Sun". kama kimauzo linaongoza na habari zake zinaaminika, unataka kutuaminisha kwamba haliheshimiki?

Na hapa London penyewe waingereza wanasema if its not on BBC or Daily mail thats not news....!

Braza tusijipe moyo, hii habari ishatuchafua.....!
 
Mdau, tangu lini dailymail likawa ni gazeti linaloheshimika?

Kwanza dailymail ni gazeti la mrengo wa kulia kabisa. (far right wing newspaper) kama ilivyo foxnews tv channel.

Braza basi usiwe mvivu walau hata wa kufanya research ya habari unazozisoma hapa mtandaoni na kujua kama umepelekwa chaka au la....nakupa habari kamilifu kaifanyie kazi "Daily Mail is the United Kingdom's second biggest-selling daily newspaper after The Sun". kama kimauzo linaongoza na habari zake zinaaminika, unataka kutuaminisha kwamba haliheshimiki?

Na hapa London penyewe waingereza wanasema if its not on BBC or Daily mail thats not news....!

Braza tusijipe moyo, hii habari ishatuchafua.....!
 
Tanzania nchi ya Kiislamu kwa maana ya Zanzibar au?
Tanzania ina waislam Wengi kwa maana hiyo ni huwezi itofautisha na nchi za kiislam hata ukitizama uongozi wa Top 3 ni Muslim.. Inamaana katika zaidi wa Watu Watano watatu ni waislam so ukienda tofauti na maadili yao itajulikana na wengi fasta sana...

Tanzania is predominantly Muslim= Tanzania nchi yenye waislam Wengi.

Jewish Teens Return Home After Zanzibar Attack - Jewish World - News - Israel National News
 
Mlaleo...mkuu kwa hayo maelezo na takwimu ulizotoa hii ligi siiwezi-kwamba walipo watano basi watatu ni Waislamu (60%)? halafu kwa tafsiri hiyo basi hao wawili (40%) waliobaki moja anaweza kuwa Mbudha na mwingine pengine dini za asili za kiafrika!Tutaishia kubishana tu.Acha nibaki kuwa Mtanzania ambaye ninajua ninachokiamini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom