Achukue laptop gani kati ya hizi?

Achukue laptop gani kati ya hizi?

zote ni vimeo mkuu ila kama ni kuchagua,

hio ya 180,000 ndio nzuri usidanganyike na ram sababu zinaongezeka, hio turion ina nguvu mara tatu ya hio amd.

hapo ongeza 20,000 nunua ram 2gb ongeza kwenye hio intel ili nayo iwe na 4gb gharama itakuwa 200,000 sasa.
mkuu hiyo RAM 2GB kwa 20k nitapata wapi? na mimi nina uhitaji
 
mkuu hiyo RAM 2GB kwa 20k nitapata wapi? na mimi nina uhitaji
zipo maeneo mengi hapo nilipopataja juu kkkt likoma kariakoo, ukienda machinga complex unazipata, online site kama kupatana pia zipo.
 
Wakuu hbr za mida, kuna mtu anaomba ushauri wa manunuzi kati ya hizi PC

hp probook 6555b
Internal storage 230gb
RAM 2GB
Tsh 180000/=
52531ebaeafd42d13fc1e2f830e23b3a.jpg

Acer
Internal storage 300gb
RAM 4GB
Tsh 300000/=
c9eb4f832279b60da623ecf023278e28.jpg
Chukua hp hiyo acer usidanganyike na ukubwa wa HDD na RAM. Processor hamna kitu hapo yaani ina speed ya 1.0 GHz au nimeona vibaya?
Inamaana inazidiwa speed na processor ya tecno C8 yenye 1.6 GHz.

Ram na Hard disc ya HP unaweza kuongeza vipi hiyo processor ya Acer ikianza kuzidiwa uzito. RAM na HDD zikiwa kubwa na CPU speed ni ndogo ni kazi bure tu maana hiyo ndiyo inaprocess data
 
chukua acer hiyo ipo vizuri kuliko hiyo pro book..!
 
Mkuu kwa faida kidogo utaweza kunielezea vipi hiyo AMD ya hp iwe kubwa kuliko ya acer
unapoangalia aina ya processor unaangalia mambo mawili makubwa,

1. uwezo wa core moja
2. uwezo wa core zote

cpu yenye core 4 inaweza kuwa na nguvu kuliko ya core 8 na cpu yenye 1ghz inaweza kuwa na nguvu kuliko ya 4ghz hivyo ni vyema kuangalia benchmark ya cpu husika kupata uhakika zaidi. hapa nitatumia benchmark ya passmark kuziangalia nguvu zake.

1. uwezo wa core moja (single thread perfomance)
-amd ya hp ina score ya 758
-amd ya acer ina score ya 316

2. uwezo wa core zote (multi thread perfomance)
-amd ya HP ina score ya 1363
-amd ya acer nayo ni 577

source hizi hapa
PassMark - AMD C-70 APU - Price performance comparison

PassMark - AMD Turion II P520 Dual-Core - Price performance comparison

hivyo unaona hapo hiyo HP ilivyomuacha mbali acer.

sababu pekee ambayo unaweza chagua hio acer badala ya HP ni kwamba cpu ya acer ni 9w wakati ya HP ni 25w hivyo ya acer inakula umeme mdogo sana na itakaa na chaji.
 
vipi kuhusu graphic zao mkuu
 
acer mkuu..hutajutia..mm ilinipa service nzuri sana wakati nikiwa chuo..
 
Back
Top Bottom