Kwahiyo mkuu umefarijika sana maandamano kufeli?? Nlidhani wewe ni mmoja wapo wanaopigania injustice am so disappointed aisee!πππππππ
Maandamano chaliiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Wapiiiii straight uchwaraaaaaaa???
Wapi Lijariiiiiii wa bei ya jioniiiiiii????
ππππππ
ππππππKuna Moja ya laws of power inasema "Destroy your enermies completelly".
Nadhani ushaielewa hiyo code.
Usije sema sikukwambia.
Ni mjinga tu atakaeamini kuwa leo ikishindikana bhasi suala limeisha. NEVERNawapongeza sana vijana ambao Leo wametulia:
Wameacha kuandamana
Kama ujumbe umeshafika kwa wahusika:
Jukumu la kuijenga na kuilinda nchi YETU ni la sisi sote:
Tukumbuke tuna wagonjwa, watoto, akinamama, wazee na watu maalum wanahitaji kuhudumiwa na haki Yao:
Sikiliza Naa, mie ni m1 wa wale waliotaka kuwa wakombozi wa hii nchi, na nikuambie Tar 29 nilinusurika risasi, wa pembeni yangu alikufa huku nashuhudia,Kwahiyo mkuu umefarijika sana maandamano kufeli?? Nlidhani wewe ni mmoja wapo wanaopigania injustice am so disappointed aisee!
Ilifika saa 8 hawataaamini Tena maneno Yao we ngojea tuKwahiyo mkuu umefarijika sana maandamano kufeli?? Nlidhani wewe ni mmoja wapo wanaopigania injustice am so disappointed aisee!
Anko na wewe ushaanza kulipwa afu saba sabaπππππππππ
Maandamano chaliiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Wapiiiii straight uchwaraaaaaaa???
Wapi Lijariiiiiii wa bei ya jioniiiiiii????
ππππππ
Mkuu weka iwe specific.Ilifika saa 8 hawataaamini Tena maneno Yao we ngojea tu.
Ancoo hata sio kulipwa, waja wameniudhi sana asubuhi ya leo.Anko na wewe ushaanza kulipwa afu saba sabaππ
Ya Leo mkuuMkuu weka iwe specific.
Saa8 ya siku gani?
Pole anko π ndio ukubwa huo πAncoo hata sio kulipwa, waja wameniudhi sana asubuhi ya leo.
Khaaaaah!!! πππππ
Ni kweliNi mjinga tu atakaeamini kuwa leo ikishindikana bhasi suala limeisha. NEVER
Mkuu hakuna kitu kibaya kama raia wenye uchungu ambao umedharaulika na pili, mpasuko wa kidini ambao umechochewa.
Vitu ambavyo ningetamani yoyote aliyepo juu aangalie chini na aimalize lakini kwa matendo SIONI. It's painful kwa mtu yoyote anaeipenda nhii hii lakini tutafanyaje. Hatuwezi kuziba jua kwa ungo
ππππ kwa kweli na mie nawavurugaa.Pole anko π ndio ukubwa huo π
Mashabiki wa CCM hawana hizo akili ndugu.Yaani watu hawashtuki kwa nini downtown posta barabara zimefungwa, hakuna watu barabarani.Hapo it means kuna tatizo....akili za hawa watu ni za kipekeeYaani nyie Akili zenu vipi?...hivi unafikiri kuandamana ni lazima watu watoke barabarani?kitendo cha biashara kusimama,maduka kufungwa ni USHINDI MKUBWA KWA WAANDAMANANIJI. umeshajiuliza serikali imekosa mapato kiasi gani? Sema tatizo unakaa kwa shemeji yako huwezi jua
wananchi wametuma message nzuriNawapongeza sana vijana ambao Leo wametulia:
Wameacha kuandamana
Kama ujumbe umeshafika kwa wahusika:
Jukumu la kuijenga na kuilinda nchi YETU ni la sisi sote:
Tukumbuke tuna wagonjwa, watoto, akinamama, wazee na watu maalum wanahitaji kuhudumiwa na haki Yao:
Coca una mapepo?πππππππ
Maandamano chaliiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Wapiiiii straight uchwaraaaaaaa???
Wapi Lijariiiiiii wa bei ya jioniiiiiii????
ππππππ
π πMabadiliko yeyote yanahitaji ustahimilivu.
Je, utaweza kustahimili maumivu ya kifimbo cheza cha police?
Bado nina imani kuuu Mungu yu pamoja nasi hata sasa.Ilifika saa 8 hawataaamini Tena maneno Yao we ngojea tu