Achieni Keyboard mkaongoze mapambano makamanda

Na sisi tunawasubili waje, safari hii Haina haja ya polisi kuwadhibiti raia tu tunatosha, tumeshabeba vilainishi tunakukamata tunakupaka mafuta
 
Mnajitoa ufahamu au siyo,hii ngoma tutachezeshana Kwa miaka mitano iliyobaki.
Itakuwa funga fungua funga fungua.....
Matak yenu
 
Mnajitoa ufahamu au siyo,hii ngoma tutachezeshana Kwa miaka mitano iliyobaki.
Itakuwa funga fungua funga fungua.....
Matak yenu
Leo kuna muda wetu tumeupanga. Mark my words, watarudi hapa macho na masikio yao yakiwa hayaamini.
 
Yaani nyie Akili zenu vipi?...hivi unafikiri kuandamana ni lazima watu watoke barabarani?kitendo cha biashara kusimama,maduka kufungwa ni USHINDI MKUBWA KWA WAANDAMANANIJI. umeshajiuliza serikali imekosa mapato kiasi gani? Sema tatizo unakaa kwa shemeji yako huwezi jua
 
Pamoja na ulinzi wote bado kinamwigulu wamejificha kwenye mashimo na ikulu ya dodoma imepata kazi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maandamano chaliiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Wapiiiii straight uchwaraaaaaaa???
Wapi Lijariiiiiii wa bei ya jioniiiiiii????

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabadiliko yeyote yanahitaji ustahimilivu.

Je, utaweza kustahimili maumivu ya kifimbo cheza cha police?
Umeambiwa ni SMG na magazine mpyaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nawapongeza sana vijana ambao Leo wametulia:
Wameacha kuandamana

Kama ujumbe umeshafika kwa wahusika:

Jukumu la kuijenga na kuilinda nchi YETU ni la sisi sote:
Tukumbuke tuna wagonjwa, watoto, akinamama, wazee na watu maalum wanahitaji kuhudumiwa na haki Yao:
 
NIMEFURAHI SANA KUONA ULINZI UNAIMARISHWA KILA KONA.NA LEO KWANGU NITALALA NIKIWA SIJAFUNGA MLANGO MAANA ULINZI UPO KILA KONA.
 
Umeambiwa ni SMG na magazine mpyaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna Moja ya laws of power inasema "Destroy your enermies completelly".

Nadhani ushaielewa hiyo code.
Usije sema sikukwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…