miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,275
Umcharuko sana, mgeni tuu upo hivi je ukiwa mwenyeji. .Kwa sababu una uchungu kama unakamuliwa jipu.
Kakwambia nani nimetoka badoo?![]()
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Umcharuko sana, mgeni tuu upo hivi je ukiwa mwenyeji. .Kwa sababu una uchungu kama unakamuliwa jipu.
Kakwambia nani nimetoka badoo?![]()
Umeona sasa shemu!Shemeji huonekani?nakusalimia
Acha kula ugoro dogoUmcharuko sana, mgeni tuu upo hivi je ukiwa mwenyeji. .
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Murder dem
SijakuelewaAcha kula ugoro dogo
Washa penzi kama moto babydoll$connor
Hata Mimi nimeona hilo
Huna uwezo huoNikiwa mwenyeji nachukua member wote mateka include you
Hehehee abiria chunga atii![]()
![]()
![]()
Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajambo sijui sammy mana kapoteaUmeona sasa shemu!
Cole mzima?
Cheka dear , maisha yenyewe yamenuna.Baby Doll nacheka had machozi jaman khaaaaaaa! we kweli kichwa ya gas aic! hahahahaha eti vyura wapo kisimani hahahahhahahahahhhahahhahh! dah u made my nite aic! jiachie mwaya kwa raha zakoo mke mwenza akujue!lol.. mamaa tashititi

Mimi sifugi chura au wenzangu mwenyeji mnao vyura majumbani mwenu?


Matusi hayo rubii. Wanakukojoza.