Unamtia motoo JLikes zako,messages zako
Unapost unachotaka,ni wewe tu na kasi yako ya 4G ama E
Tuzoee tu wenyeji wako mixer tusamehe bure
Nimecheka sana cute b umesahau kumwambia atoe na taarifa kabisaHadi imebidi nidhibitishe kama umejiunga Jana.
Karibu sana jf.
Onyo
sumbai ni Mume wangu akikufuata huko pm usimkubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh mgeni mkali sannaaa...Wapo visimani![]()
Asante rubii![]()
![]()
![]()
Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app





Anaweza akazamia huko mazima...Kizuri kula na nduguzo mwanakwetu...unataka wengine wafe njaa?
Safi sana..Asante.
Akija nitamtoa baruu![]()
Enjoy mwayaaaAsante rubii
Kweli yani watu wabaguzi utadhani mtoto wa kambo ameletwa kwenye familia yao.
Jamani nyie watu Mimi sitafuti bwana.kuweni na amani.
Nipo kibitiNakutafuta ujue

Ha ha ha Shunie Cheka tuu...Nimecheka sana cute b umesahau kumwambia atoe na taarifa kabisa
Una mkwaaaraHadi imebidi nidhibitishe kama umejiunga Jana.
Karibu sana jf.
Onyo
sumbai ni Mume wangu akikufuata huko pm usimkubali.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ahahahah nakumbuka jaman hawezi nifata sumbai naheshimiana nae sana jama ila alikuwa anafurahia kumbe ulimuonaHa ha ha Shunie Cheka tuu...
sumbai namjua..
Unakumbuka kule maeneo Fulani fidodido mmoja alikuwa anakufananisha na Mimi?
Sumbai alivyofurahia alitamani afanye kweli.
Hivi hakukufuata kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuona nakuona