Nimeagiza supu hapa Ramada so niwape ur name waja lipia eeeeh.... lolKama bado haujanywa chai, pata supu hotel yoyote ya kimataifa nakuja kulipa.
Kuna moja hapo juu lina midevu kama kambale.
Limeanza kutumia smartphone na Internet baada ya kununuliwa simu na wajukuumwaka juzi.
Watatuelewa tuu.
Hawataki wageni wamekuwa Melo?![]()
Nimeagiza supu hapa Ramada so niwape ur name waja lipia eeeeh.... lol
eti lina midevu kama kambale nimecheka na kumvutia picha kambale alivyo nimecheka zaidi.
Watatuelewa tuuuuuuuuu![]()
![]()
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.







Haha wewe jamaaMgeni chura ipo?