Acheni Wivu.

Acheni Wivu.

Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingindiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft..
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema
Hahahaaa mama komaa nao waache kutusumbua..ata sisi ni wahenga sema tulichelewa kujulikana

young kilimanjaro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom