Acheni ushauri wa kinafki nyinyi!

Acheni ushauri wa kinafki nyinyi!

We nae huna akil tu kama wenzako walioko mtaaan na bahasha zao za khaki.Mnakera afu shida zenu mnataka sisi tuwanyenyekee sio????🙁. ) jichagulie tusi mwenyewe


Maskini akipata .................hulia mbwaa, kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
Kaka umeandika vema mno, mimi naungana na wewe asilimia zote. Basi kama mtu unataka kuwasaidia vijana kujiajiri basi husiishie tu kusema kwa nini husijiajiri onesha basi angalau mwanga kuwa unaweza ukafanya hivi ukafanya vile. Mtu umeajiriwa, mtu unatumia net ya ofisini, mtu unamtaji lakini wewe mwenyewe hujafanya aina yoyote ya ujasiriamali lakini unaporomosha kejeli kwa graduates. Si vema jamani.

Kweli kabisa Yaani
naunga mkono hoja.
 
hawa wanaongea tu
imagine mi ni 4yrs now nipo mtaani hadi volunteers ckuhiz kujuasna halafu mtu kirahisi tu eti jiajiri hiv mnafikir hatujawaza hayo?
ipo cku
 
uza laptop au smartphone yako ufuge kuku wa kisasa!


Watu hawataki kukoselolewa watu hawataki kuambiwa ukweli, akiandika mambo ambayo yana-undercast degree yake ukimwambia anaona sisi wanafiki. Kizazi kibaya hiku kinataka kila kitu kiende kidigital! kizazi kisichotaka kusikia negative kizazi kisichotaka kuchallengiwa
 
Back
Top Bottom