Acheni unafiki, hata nyie hamuwezi kuweka wazi Mishahara yenu, iwe Mikataba?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Eti Mikataba iwe wazi mliona wapi hili linafanyika? Wewe ukiambiwa uonyeshe Mkataba wako wa kazi na unapata Shilingi ngapi kwa mwezi utaonyesha?

Kuweni realistic acheni kutoa Madai ya kijinga na yasiyotekelezeka, ...
 
Eti Mikataba iwe wazi mliona wapi hili linafanyika? Wewe ukiambiwa uonyeshe Mkataba wako wa kazi na unapata Shilingi ngapi kwa mwezi utsonyesha?

Kuweni realistic acheni kutoa Madai ya kijinga na yasiyotekelezeka, ...

Hebu nawewe fikiria kwanza. Mikataba ni kati ya kampuni na serikali ambayo ni wananchi. Mkataba wako wa ajira ni wako tu. Unaviringanisha vipi? Kwani mikataba ya saccos, wanachama hawajui? Kuwa serious
 
Hilo haliwezekani hkn Muwekezaji atakubali hilo, hata kama ungekuwa ni Muwekezaji usingekubali!
 
Eti Mikataba iwe wazi mliona wapi hili linafanyika? Wewe ukiambiwa uonyeshe Mkataba wako wa kazi na unapata Shilingi ngapi kwa mwezi utaonyesha?

Kuweni realistic acheni kutoa Madai ya kijinga na yasiyotekelezeka, ...
Watu kama wewe ndo chanzo cha Taifa letu kuwa masikini ebu soma ulichokiandika na ukitafakari kwa kina ukihusisha na mijadala kuhusu Mikataba ya Kitaifa kuhusu maswala ya maliasili za Taifa letu. Sijui lakini kwa maoni yangu, wewe kwa akili yako hiyo anza kujitafakari vizuri kwa sababu unaonekana una akili lakini hutaki kuzitumia vizuri.
 
Hakuna Muwekezaji atakayekubali hilo kama vile wewe usivyoweza kukubali Mkataba wako na muajiri wako kuanikwa, hii ni Dunia nzima, kuna sababu kwa nini iko hivyo!
 
Una matatizo wewe mtoa mada. Mshahara ni wa mtu binafsi. Rasilimali za taifa.ni mali ya wananchi!
 
Hebu nawewe fikiria kwanza. Mikataba ni kati ya kampuni na serikali ambayo ni wananchi. Mkataba wako wa ajira ni wako tu. Unaviringanisha vipi? Kwani mikataba ya saccos, wanachama hawajui? Kuwa serious
Mwambie kuna aina nyingi za mikataba hata ndoa ni mkataba na uko wazi watu wanajua kabisa flani anatafunwa na flani baada ya kuingia kwenye mkataba wa kuishi pamoja, huo mkataba uko wazi.

Asifananishe mkataba wa kampuni na nchi na mkataba wa kazi, pia hata kazi hua zinatangazwa na kiwango chake cha mshahara na wala sio siri.
 
Eti Mikataba iwe wazi mliona wapi hili linafanyika? Wewe ukiambiwa uonyeshe Mkataba wako wa kazi na unapata Shilingi ngapi kwa mwezi utaonyesha?

Kuweni realistic acheni kutoa Madai ya kijinga na yasiyotekelezeka, ...
Mshahara wa mtu ni contract katibyake na muajiri wake.

Mkataba wa madini wa nchi ni mkataba na serikali ya watu wa nchi nzima.

Kuna tofauti kubwa sana.
 
Mwambie kuna aina nyingi za mikataba hata ndoa ni mkataba na uko wazi watu wanajua kabisa flani anatafunwa na flani baada ya kuingia kwenye mkataba wa kuishi pamoja, huo mkataba uko wazi.

Asifananishe mkataba wa kampuni na nchi na mkataba wa kazi, pia hata kazi hua zinatangazwa na kiwango chake cha mshahara na wala sio siri.

Mkataba ni Pesa kama vile Mkataba wako na muajiri wako!
 
Back
Top Bottom