Acheni Kutudanganya Fabrice Ngoma alikuwa hana Matatizo ya Kifamilia, bali Aligoma hadi alipwe chake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
109,003
GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto.

Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa na matatizo ya Kifamilia na kwenda Kwao Congo DR GENTAMYCINE naikataa kwa 100%

Ukweli ni kwamba Mchezaji Fabrice Ngoma alikuwa AMEGOMA kwakuwa hakumaliziwa sehemu ya Pesa yake kama ambavyo aliahidiwa na hiyo sijui alikuwa Kwao Kifamilia ni Uwongo ambao Unanikera sana.

Kama alienda Kwao ilikuwaje tokea Timu iko Mikoani anaonekana Mikocheni, Mbezi Beach na Mlimani City akiwa na Goma lake la Kinondoni ambalo hulikosi katika Live Band zote za Twanga Pepeta ambalo pia linatoka na Mchezaji mwingine Mzawa wa Yanga SC?

Mtawadanganya na Kuwaficha Watu wote hapa Tanzania ila siyo Mimi GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums sawa?

Na namalizia kwa kuwaambia kuwa Mechi yetu ya Leo huko Tabora ni ngumu mno na ikitokea tukashinda basi tutashukuru sana na hata Mimi nitafurahi sana tu ila tukitoka Sare / Suluhu au Kufungwa wala sitoshangaa kwani hata Kinyota ( Kinujumu ) Siku ya Jumanne na tarehe 6 huwa si nzuri kwa Simba SC.

Msirudie tena KUTUDANGANYA sawa?
 
Kwa bongo lolote linawezekana
 
Achana na Nujum ila kama Tabora watacheza nusu ya uwezo wao waliocheza wakati wamekutana na Yanga na kukawa hakuna makosa ya kibinadamu itakua ni mechi Ngumu kwa Simba kupata matokeo.
 
Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu ( japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja ), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC.
 
GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto.

Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa na matatizo ya Kifamilia na kwenda Kwao Congo DR GENTAMYCINE naikataa kwa 100%

Ukweli ni kwamba Mchezaji Fabrice Ngoma alikuwa AMEGOMA kwakuwa hakumaliziwa sehemu ya Pesa yake kama ambavyo aliahidiwa na hiyo sijui alikuwa Kwao Kifamilia ni Uwongo ambao Unanikera sana.

Kama alienda Kwao ilikuwaje tokea Timu iko Mikoani anaonekana Mikocheni, Mbezi Beach na Mlimani City akiwa na Goma lake la Kinondoni ambalo hulikosi katika Live Band zote za Twanga Pepeta ambalo pia linatoka na Mchezaji mwingine Mzawa wa Yanga SC?

Mtawadanganya na Kuwaficha Watu wote hapa Tanzania ila siyo Mimi GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums sawa?

Na namalizia kwa kuwaambia kuwa Mechi yetu ya Leo huko Tabora ni ngumu mno na ikitokea tukashinda basi tutashukuru sana na hata Mimi nitafurahi sana tu ila tukitoka Sare / Suluhu au Kufungwa wala sitoshangaa kwani hata Kinyota ( Kinujumu ) Siku ya Jumanne na tarehe 6 huwa si nzuri kwa Simba SC.

Msirudie tena KUTUDANGANYA sawa?
hizi timu yanga na simba sijui zina nini,kwanini hawawezi kuwalipa pesa kamili hao wachezaji? au kama ni kwa mafungi si walipe kwa mujibu wa mapatano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutaweka ushahidi hapa wa ulicho andika basi hizi ni stori njaa za kwenye vijiwe vya kahawa
 
GENTAMYCINE naipenda sana Simba SC yangu na napenda sana Kuwacharura Yanga SC hapa JamiiForums kama sehemu yetu ya Utani wa Jadi ila hakuna Kitu nachukia kama Uwongo na Propaganda za Kitoto.

Taarifa ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa Kiungo Fabrice Ngoma hakuwepo Kikosini kwakuwa alipatwa na matatizo ya Kifamilia na kwenda Kwao Congo DR GENTAMYCINE naikataa kwa 100%

Ukweli ni kwamba Mchezaji Fabrice Ngoma alikuwa AMEGOMA kwakuwa hakumaliziwa sehemu ya Pesa yake kama ambavyo aliahidiwa na hiyo sijui alikuwa Kwao Kifamilia ni Uwongo ambao Unanikera sana.

Kama alienda Kwao ilikuwaje tokea Timu iko Mikoani anaonekana Mikocheni, Mbezi Beach na Mlimani City akiwa na Goma lake la Kinondoni ambalo hulikosi katika Live Band zote za Twanga Pepeta ambalo pia linatoka na Mchezaji mwingine Mzawa wa Yanga SC?

Mtawadanganya na Kuwaficha Watu wote hapa Tanzania ila siyo Mimi GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums sawa?

Na namalizia kwa kuwaambia kuwa Mechi yetu ya Leo huko Tabora ni ngumu mno na ikitokea tukashinda basi tutashukuru sana na hata Mimi nitafurahi sana tu ila tukitoka Sare / Suluhu au Kufungwa wala sitoshangaa kwani hata Kinyota ( Kinujumu ) Siku ya Jumanne na tarehe 6 huwa si nzuri kwa Simba SC.

Msirudie tena KUTUDANGANYA sawa?
Story za abunuwasi hizi.
 
Back
Top Bottom