Acheni kujichubua

Shida sio elimu, shida ni jamii inayomzunguka na kukataa kuitwa mshamba na jamii hiyo
Asilimia kubwa,wanaojichubua hawajui hili wala lile. Ni wale wapo wapo tu,wa kudanga au kukaa kwa shemeji. Wengine wenye mishe zao,ni wa kuvutwa na kuhongwa. Ila pia wao ukiwaangalia,unaona kabisa dishi halipo sawa
 
Kumbe nawewe unaendaga huko
 
Ila siku hiz lile wimbi la wadada kujichubua mtu anabaki kama ndizi choma limepungua , siku hizi wanapaka mikorogo ya ghali kidgo , labda uswazi sna wale wa Dira kuchomekewa kwa vyupi.
kwahy vipodoz ghari havina madhara? Bas kuanzha leo betasol ya buku nitauza laki na 50 ili isiwe na madhara, au mnasemaje wadada
 
hizi nyumba zinamengi bro angu, unakuta jike bishi na jeuri kichizi mwamba anaamua aliachanize tu lifanye linavyotaka lenyewe
Eeeh kuishi na mtu mbishi anajiona anajua kila kitu ni shida sana.
 
Hivi ufupi umekuwa tatizo eeh?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…