Acheni kujichubua


Usisahau wanaume
 
Hivi kuna kua na hamu kweli na mtu aliyejichubua?
Hakunaga hamu aisee yangu ilinywea ndani huko naye Alishahisi kbsa nimechukizwa na kujichubua kwake ,manake ngozi ilikuwa imesinyaa na mishipa ya kijani + kiharufu na jua hili la DSM ,kwakweli kilichonifanya nimle ni ugumu wa kukaa miezi 6 porini nikiwa jeshini so ule ugumu ndo nikamvamia lakini bado nikachemka

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nusu nitapike aises

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
1. Wanaume mnawasingizia. Wanajidanganyaga kuwa,wakijichubua ndo watakuwa wazuli na kupendwa. Kumbe siku hizi hata kuwatumia tu,hawana ushawishi. Waache wajichubue watajuta. Ila kiukweli hata kukaa nae hapana,hata kudate ti hapana,achilia mbali kuvuta kitu.

2. Kumbe?! Mi nkajua labda udi wamechoma,au marashi fulani wananyunyizia ndani.

Miaka ya nyuma wakati hili sekeseke ndo linaanza,kuna mama mmoja alikua anatokea kwenye familia yenye uwezo. Miaka kama 30 iliyopita. Kachumbiwa, fresh tu. Kipindi hicho inasemekana walitumia machine kuchubuliwa. Sijui ni kweli au la. Dadeki. Kifaa kiligeuka kifaa. Kama mzungu. Enzi hizo hata hii miwani ya machinga ilikuwa dili,mama wa watu akawa anavaa. Badae,mambo yakaenda ndivyo si vyo,na kilomita zinasoma. Sasa hivi ukimuangalia, hadi kinyaa. Kazaa mitoto ya kike, sasa inadai inaona aibu kukaa nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…